Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema.
Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana.
Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara moja.
Hakika sasa mafuta na maji yanajitenga.
Niliwaambia Chadema bila Mh. Mbowe.....hakuna chadema,
 
🚮
Ccm ilipofarakana na Ndugai, Polepole, Nchimbi,... na wengine wengi ikiwa ni pamoja na kuwekeana sumu mbona hukusema ifutwe haraka??
 
Wana ccm shida hamjipi mda wa kutafakali kwa nn mpaka chadema inaungwa mkono sana mnakimbilia kuifuta huku mkisahau kua watz wamechoka hawana pa kusema wanatekwa wanaona viongozi wao ni Mungu mtu.Futeni chadema hata leo ila mjue wananchi hawataaa kimya kisa mmeifuta chadema.
 
Jiwe alishindwa kufuta na siasa zake zilikuwa zinahusisha matumizi ya akili na nguvu Kwa pamoja, hizi siasa za sasa za kutumia nguvu tu sitaweza kitu kweli?
 
Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema.
Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana.
Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara moja.
Hakika sasa mafuta na maji yanajitenga.
Niliwaambia Chadema bila Mh. Mbowe.....hakuna chadema,
Huko CCM kadi yako ni namba ngapi?
 
Back
Top Bottom