Akili wewe utatoa wapi sasa kiasi cha kuandika kitu fikirishi ?Una akili ndogo kuelewa mada rudia kusoma
Fikiria Mara mbili.Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.
Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa
Thubutu!! Who is Lissu afterall?? Yaani unawaogopa European Parliament na Robert Amsterdam?? Au unaogopa Congress ya Marekani na yule Senator Cruz.Fikiria Mara mbili.
Fikiria kuhusu hatua mbili mbele usifikirie kuhusu hatua moja unayokanyaga sasa.
Lissu akifa mikononi mwa serikali kabla ya hukumu itakuwa tatizo kubwa sana kwa watawala.
Pole pole ameshasahulika kakaFikiria Mara mbili.
Fikiria kuhusu hatua mbili mbele usifikirie kuhusu hatua moja unayokanyaga sasa.
Lissu akifa mikononi mwa serikali kabla ya hukumu itakuwa tatizo kubwa sana kwa watawala.
Aliwaleta barabarani vipi wakati alikuwa Jela?Mbona hatujaona huo ushahidi wa kuwaleta watu barabarani ukitolewa mahakamani?Ameshtakiwa kuitisha serikali na si vinginevyo!Alisingewaleta barabarani wasingeuliwa. Hii kwa mujibu wa root cause analysis
Umeenda mbali!Lissu ni Kiongozi wa Chama Cha upinzani chenye wafuasi wengi zaidi nchini!Hujafikiria kuhusu civil unrest Iwapo akifia mikononi mwao?Thubutu!! Who is Lissu afterall?? Yaani unawaogopa European Parliament na Robert Amsterdam?? Au unaogopa Congress ya Marekani na yule Senator Cruz.
Hakuna mtu ana taimu na Waafrika na ndiyo maana hata zili Euro 156 Million zilizozuliwa na EU mwezi March 2026 zimeachiliwa ziingie tu.
Vile mnajibebisha kwa Wazungu mjue wanawadharau sana, hamjui tu
Dunia nzima unajua na Ina ushahidi Lissu yupo chini ya ulinzi wa vyombo vya dola kisheria na kwa uwazi.Pole pole ameshasahulika kaka
Hawa watu hawajali hata akifa
wtf 😳 ulichoandika kina reflect hilo jina na avatar yakoNi kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.
Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa
Civil unrest my foot!! Forget about that. Ingieni barabarani mkutane na goroli tenaUmeenda mbali!Lissu ni Kiongozi wa Chama Cha upinzani chenye wafuasi wengi zaidi nchini!Hujafikiria kuhusu civil unrest Iwapo akifia mikononi mwao?
Oct 29 mwaka Jana mlipuuza mkaona ni business as usual, yaliyotokea hayakutarajiwa!
Msilichukulie jambo hili kwa mzaha!
Alichokisema mwezi April 2025 kikinukisha na kuzuia uchaguzi ndicho kilitokea Oktoba 29.Aliwaleta barabarani vipi wakati alikuwa Jela?Mbona hatujaona huo ushahidi wa kuwaleta watu barabarani ukitolewa mahakamani?Ameshtakiwa kuitisha serikali na si vinginevyo!
Kumbe uelewa ni mdogo kwako!Civil unrest my foot!! Forget about that. Ingieni barabarani mkutane na goroli tena
Hiyo picha umeona wewe na sio waendesha mashtaka ambao wamemshtaki kwa Uhaini wa kuitisha serikali!Alichokisema mwezi April 2025 kikinukisha na kuzuia uchaguzi ndicho kilitokea Oktoba 29.
Kusoma huwezi hata picha huwezi kuona?