Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

Mipango inasukwa vizuri na kete inachezwa vizuri sana...usidhani Lissu ni mjinga kila tukio ni mahesabu makali mbele.
Wewe subiri jinsi watu watakavyokamatwa kuelekea 29 oktoba 2026, then nchi italipuka bila kutegemewa.
Huwa mna maneno ya kijasiri sn nyuma ya keyboard but mwisho wa siku hamna historia ya kushinda lolote
 
Shujaa hapaswi kufa kizembe
Bado anayo kazi kubwa mbele
Hiyo ya kugomea kula chakula nayo ni mbinu moja wapo, Heche aligoma kula siku 3 mbona walilegea wakamleta Dar kutoka kituo cha Polisi Mtumba Dodoma ?

Hii ishu ya Lissu ni sawa na kisa cha Nabii Yusuf alipokuwa mfungwa Misri enzi za utawala wa Farao, majibu ya ndoto ya Farao alikuwa nayo Yusuf mfungwa

Hapa Tanzania majibu ya matatizo ya nchi anayo Lissu ambaye amewekwa gerezani kwa uonevu kabisa
 
Lakini akifa kwa njaa si itakuwa ni HERI kwa wanaomuombea anyongwe kwa uhaini wake?
Lissu yupo mahabusu kwa zaidi ya mwaka mmoja,yanayo mtokea kule hatuyajui. Tumuache afanye analoona lina mfaa kwa wakati husika,mzigo wa mateso kajitwika peke yake.
Hakuna wa kumnyonga mkuu ni siasa tu kama siasa..
Wewe ingekuwa kweli wanataka kumuua wangekaa nae mwaka wanamlisha halafu mwishowe ndo wamnyonge?
Sio kweli hanyongwi mkuu.
 
Huwa mna maneno ya kijasiri sn nyuma ya keyboard but mwisho wa siku hamna historia ya kushinda lolote
Walamba makombo mna hali ngumu sana kihisia hata dhamira zenu zinawasuta kuandika hivi.

Wanaofanyiwa vyama vya Upinzani ni sawa ? Wakina Mwaipopo wanasema hadharani wana vikundi vya kigaidi CHUI WEUSI na hawafanywi kitu. Kosa la Lissu ni lipi?
 
Alisingewaleta barabarani wasingeuliwa. Hii kwa mujibu wa root cause analysis
Aliwaleta lini? Mtu alikuwa ndani mwezi May?. Halafu kasome long term na short term causes za Oct 29 kwenye taarifa ya Jaji Chande.
 
Mto atavuka akiufikia siyo sasa
Hapana, kwa kesi ya Lissu huo ushauri wako haufanyi kazi. Lissu inabidi ajiandae kukata rufaa kabla ya hukumu maana kesi yenyewe ya mchongo hata hukumu itakuwa ya mchongo.
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Nyumbu niliwauliza akigoma kula mwenye hasara ni nani?
Matusi niliyotukanwa ni siri yangu!!!
 
Nyumbu niliwauliza akigoma kula mwenye hasara ni nani?
Matusi niliyotukanwa ni siri yangu!!!
Mbona na wewe unatukana?. Unamuita binadamu mwenzako Nyumbu halafu hutaki kutukanwa. Kwa Tanzania nchi isiokuwa na utu kugoma kula ni kama furaha kwa watesi kama wewe. Maana ubinafamu ulishawatoka kisa kulinda CCM. Ok
 
Hakuna wa kumnyonga mkuu ni siasa tu kama siasa..
Wewe ingekuwa kweli wanataka kumuua wangekaa nae mwaka wanamlisha halafu mwishowe ndo wamnyonge?
Sio kweli hanyongwi mkuu.
Wangekuwa wajinga kama wangemuua akiwa Gerezani. Hata mtoto mdogo angewanyooshea kidole. Ila kama kumtesa wamemtesa ila jamaa hatetereki. Maana hata mazoezi haruhusiwi Tena na ana mguu mbovu na upande mwingine kawekwa sehemu ya wanaosubiri kunyongwa baadala ya mahabusu.
 
Mbona na wewe unatukana?. Unamuita binadamu mwenzako Nyumbu halafu hutaki kutukanwa. Kwa Tanzania nchi isiokuwa na utu kugoma kula ni kama furaha kwa watesi kama wewe. Maana ubinafamu ulishawatoka kisa kulinda CCM. Ok
Huwa najiuliza kila mara,kuna mtu mwenye akili timamu kabisa, mwenye uwezo wa kujitafutia mahitaji yake kwa jasho na damu,akaendesha maisha/familia yake bila kuwa ombaomba akawa ni shabiki wa uovu dhidi ya binadamu mwenzake?

Lakini ni maisha ya aina gani hayo mtu anaamka asubuhi kwa lengo kuu la kusifia watu hata kama anajua analo sifia siyo sahihi,ni ya kuumiza watu, lakini hajali, muhimu apewe chochote baada ya kusifia aweze kushibisha tumbo lake!
Kizazi hiki kivivu ni kizazi cha kimaskini na ni kizazi cha kichawi
 
Hapana, kwa kesi ya Lissu huo ushauri wako haufanyi kazi. Lissu inabidi ajiandae kukata rufaa kabla ya hukumu maana kesi yenyewe ya mchongo hata hukumu itakuwa ya mchongo.
Unakata rufaa vipi kabla hukumu haijatoka? Sababu za kukata Rufaa atazitoa wapi?

Baada ya Hukumu mtuhumiwa anapewa siku 10 za kutia nia ya Rufaa
-Anasubiria Proceeding/Kitabu hii huwa ni namna kesi ilivyoongea kuanzia mwanzo hadi mwisho pamoja na hukumu kitabu hicho huwa kinaandaliwa na mahakama
  • Hatua inayofuata ni kuisoma yote na kuangalia makosa majaji walikosea wapi?
  • Kuandika sababu za Rufaa
  • Kuzituma sababu za Rufaa Mahakama ya Rufaani
-Kusubiri kikao cha Mahakama ya Rufaani
-Kuitwa mahakama ya Rufaani na kuzipitia sababu za Rufaa na Jamuhuri nao watakuepo kuileza Mahakama kwanini rufaa haina mashiko
  • Hukumu ya Mahakama ya Rufani kiongozi wa Majaji 3 walioshirikiana kuamua rufaa huandika
  • Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa unapelekwa kwa mtuhumiwa kama atakua kaachiwa ataachiwa kama ataendelezwa basi ataendelea kutumikia hapa ndipo mfungwa huambiwa kuwa kamaliza mahakama. Anasubiri kitanzi.
 
Anafanya hivyo kuraise awareness kwa international NGOs.

Ni kama anamaanisha amepambana kafika mwisho anaalika wengine
 
Wangekuwa wajinga kama wangemuua akiwa Gerezani. Hata mtoto mdogo angewanyooshea kidole. Ila kama kumtesa wamemtesa ila jamaa hatetereki. Maana hata mazoezi haruhusiwi Tena na ana mguu mbovu na upande mwingine kawekwa sehemu ya wanaosubiri kunyongwa baadala ya mahabusu.
Hakuna atakae mnyonga niamini mkuu
Andika pembeni hii ID yangu akinyongwa mkumbushe Melo anitoe na sitojiunga jf mpaka nakufa..
Mambo ni mawili tu
1.kukutwa na hati ya jinai na kuhukumiwa kufungwa au kunyongwa .
Ila hatonyongwa atakaa gerezani kwa muda na kutoka lengo akose sifa ya kutokugombea hata ubunge kwa kukutwa na hatia ya jinai.

2.Chama kujumuishwa kwenye uhaini na kufutwa chama ili watu wakahangaike kutafta chama kingine wakati huo tayari kashadhoofishwa.
Nb;
Lissu haitatokea akanyongwa ibaki hivi hivi.
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Mi mwenyewe nimeshangaa upo africa unagoma kula? Africa Huruma siyo malezi, watamuacha ashinde njaa afe wenzake wanaendelea kama hakuna kilichotokea
 
Back
Top Bottom