Ombi langu. Tar 6 Mungu saidia Tundu lisu ahukumiwe kunyongwa.

Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Chai..
Utawala wa sasa unafanya ufisadi wa kutisha..

DOKEZO - Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali! | JamiiForums Tanzania https://share.google/wfL0hVkcEL4hyKRKl
 
Haya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni

"You are a fool who doesn't understand where you came from, where you are, and your own political stance. You are the kind of useless Tanzanians who don't know what they are doing. I feel very sorry for you."
 
Chai..
Utawala wa sasa unafanya ufisadi wa kutisha..

DOKEZO - Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali! | JamiiForums Tanzania https://share.google/wfL0hVkcEL4hyKRKl
Hakuna nchi ambayo haina ufisaidi cha msingi maendeleo yanayoonekaa. Kumbuka miladi yote aliyoanzisha jpm bila plan yote kamaliza na barabara zinachingwa kila kona. Hata jpm alitotorosha pesa kibao china kupitia kwa dotto
 
Haya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu.
Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni
Maendeleo anayoyapenda yanakwamishwa na watu wenye akili za namna yako. Kumkosoa magufuli na kusifia awamu hii ni dalili kuwa kuna mrija umeuotea mahali unaunyonya unavyotaka. Sio uzalendo
 
Sasa jpm alifanya nini zaidi ya kufikuza wawekeza na kufanya nchi kuwa kama geto
 
Back
Top Bottom