1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge...
Uzi wa kutupia clips na screeshots zinazohusu ishindi wa Lisu tarehe 22/01/2025
Kupitia hapa, pongezi hizi ni muhimu kwa kumbukumbu tutakapompongeza tena hapo Oktoba 2025
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema.
Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
Bado Tupo!
Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao.
Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa.
Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa...
Mpo salama!
Ni hakika Kesho Lisu anashinda.
Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo.
Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi amepatikana sasa ni Muda wa kuwekana Sawa.
Wale wenye shutuma za Rushwa na waliofanya Rushwa wafanyiwe...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Hapa katikati ya mvutano wa nani anaefaa kuwa mwenyekiti wa Chadema. Baada ya upepo kuonekana kwenda upande wa Lissu, wazee wa kazi wakakaa kikao kimya kimya kama walivyofanya wakati wa Lowasa (lkn safari hii kwa namna nyingine) na kuja na njia ambayo itasaidia...
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
Hivi kosa lipo wapi mbona lisu ameonekana kafanya makosa makubwa kuchukua uamuzi wa kugombea Uwenyekiti wa chama..?
Basi Mwenyezi Mungu yeye anaja nani anatakiwa kuwa kiongozi wa hicho Kikoba Cha Mr FAM
Yaani Mimi nikuona Lisu ni kama namuona Mkapa, ni kama namuona Sokoine Moringe, Jpm
Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages
https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness inakutanga moyoni!
Nani akuamini?
c&p
Guilty consciousness is haunting you Lisu!
A guilty conscience...
Nina hoja
Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Mpo Salama bandugu!
Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo.
Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani.
Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona body language yake, inazungumza kuwa endqpo Lissu atashinda kuna uwezekano mkubwa wa kurudi CHADEMA...
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Kwasababu ni wazi,
mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha.
Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.