Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo siipendi.
Ni hayo tuu!
Happy New year Wakuu!
Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua.
Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua...
Ndugu wana Jamvi !
Mimi nimevuka salama kabisa
Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe
Jibu hilo swalii.
Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea.
Mboye nayeye anagombea kama wewe
Na wanotoa ushind ni wajumbe
Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila...
Hana uchungu na chadema, na huenda hata kadi yake ya uanachama hajailipia kwa kipindi kirefu sana.
Infact, Kibaraka ni mchoyo na mbinafsi asiependa kutoa bali kupokea tu, tena kwa kuombaomba kuchangiwa na wadau, kwa maigizo yenye hisia kali za kusisimua, akitia huruma na unyonge kupindukia ili...
Huyu mtu bwana hana shukrani,
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau walikua wanaitana.
Mara ghafla Magufuli alivyokua Rais Lissu akaanza uchokozi wa kumtukana Magufuli...
Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana.
Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
chadema
kijamii
lisu
maarufu
maoni
mbowe
mitandao
mitandao ya kijamii
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
moja
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
uchaguzi
uchaguzi wa mwenyekiti
upande
ushindani
wajumbe
wengi
INGAwa Mwenye kiti Mbowe amejitahidi kuzima watu makini kwa muda mrefu ili abaki yeye peke yake lakini bado naamini wapo watu makini
Nashauri wajitokeze watu makini NDANI ya chadema wamchukulie Heche fomu ya makamu
Mbowe bila aibu anataka kutuaminisha kwamba Chadema inamtegemea yeye peke yake...
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
Wakuu,
Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto
========================================
Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
Great Thinkers,
Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania nafasi hiyo. Kwa ambao ni wapambe ama wapiga kampeni wa kambi hizi, mnaweza kuja na uchambuzi wenu iwapo...
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.
Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana.
Upinzani ukiwa imara siku...
Mpo salama!
Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.
Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
Habari Wakuu!
Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti.
Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri pale ninapoona inafaa mimi kufanya hivyo.
Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe...
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal
Lisu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.