Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza.
Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk.
Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.
Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
barua
chadema
hukumu
kampeni
lissu
lisu
maadili
nec
news
sababu
sahihi
siasa
tume ya taifa ya uchaguzi
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
uchaguzi 2020
vyama
wote
Nimemsikia mh lisu Mara nyingi akiwasemea watumishi wa uma na maasikari kwamba hawajaongezewa mshahara kwa miaka mitano kinyume na katiba,
Kusema mapolisi hawajaongezewa mshahara ni matusi!?
Ni kutusi watumishi wa uma?
Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera.
Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi
Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi. Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe...
Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA.
Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu.
Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia...
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe amesema wajumbe wa kamati walibishana sana na hatimaye busara ilitumika kwa maslahi mapana ya taifa...
Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.
Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta.
Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni
======
UPDATES:
16:54HRS...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
============
Leo tarehe 02 Oktoba 2020 kamati ya maadili ya Kitaifa imesikiliza malalamiko dhidi ya Mgombea wa kiti cha Rais...
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF.
=======
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.