Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea.
Mara nyingi hutokea mke kuwa na nguvu na kutumia nguvu hiyo kumbeba mume na mme kuwa na nguvu...
Wakuu,
Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa.
Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako...
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.
Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
Na: Mh Tundu Lissu
Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati sio zake.
Pesa hizo...
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.
- Elimu ya maarifa, kubadili...
afya
barabara
barua
bima
ccm
chadema
elimu
fedha
haki
heslb
kampeni
kesi
kilimo
lissu
lisu
maendeleo
magufuli
mahakama
mpya
mshahara
mzalendo
pikipiki
rais
serikali
sheria
siasa
tanzania
tundu lissu
uchaguzi
uchumi
urais
usalama
ushauri
viwanda
wafanyakazi
wananchi
watanzania
watumishi wa umma
LISU Na KICHWA CHA YOHANA MBATIZAJI KWENYE SINIA
Na, Robert Heriel
Moja ya hadithi mashuhuri duniani hasa kwa Wafuasi wa Dini za Ukristo ni Pamoja na Kisa cha Nabii Yohana Mbatizaji ambaye kwa Waislamu hufahamika kama YAHAYA. Yohana Mbatizaji(John the Baptist) aliitwa Sauti iliayo Nyikani...
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni...
Muda mchache baada ya Tume kutangaza kuwa mdahalo wa pili wa Wagombea Urais utafanyika kupitia mtandao, Rais Trump amesema hatoshiriki kwasababu uamuzi huo unalenga kumlinda mpinzani wake, Joe Biden
Tume imesema imeamua kubadili mfumo wa mdahalo huo wa Oktoba 15 ili kulinda afya za washiriki...
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.
Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kwa wafuatiliaji wa mambo watuwekee hapa rekodi ya matukio ya mgombea wetu Tundu Lissu akiongoza vita dhidi ya rushwa na wala rushwa hapa nchini iwe ni ndani ya chama chake au Serikalini.
Lengo ni kutaka kutuondoa wasiwasi sisi wapiga kura kwamba...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My...
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.
Ratiba yake kwa hizo siku...
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.
Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama
Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo.
LISSU: Nasikia hata...
Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma.
Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais huyo wa Marekani anatafuta kura za huruma.
Kura za huruma zinapigwaje?
Maendeleo hayana vyama!
Baada ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA kukaa kimya kwa siku kadhaa, jumamosi hii ataendelea na kampeni Kama kawaida, siku hii itafuatiliwa na mamilioni ya watu duniani kote kwani Kila mtu anaitaji kupata ufafanuzi zidi ya masuala kadhaa yaliyojitokeza kipindi yeye akiwa kimya.
Lakini katika...
MTU DHAIFU HUTAFUTA UPENDELEO; JE LISU ANAPAMBANA NA MTU DHAIFU?
Na, Robert Heriel
Kikawaida watu dhaifu hutafuta kupendelewa, hutafuta dezo kwa watu. Pia kikawaida watu dhaifu ndio hupewa upendeleo na huukubali huo upendeleo kwa kuwa wanajua hawastahili.
Hii ni tofauti na mtu hodari. Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.