Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
LISSU AMEKIMBIA AU ANAENDELEA KUFANYA SIASA?
Na Elius Ndabila
Aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wakili Tundu ANTIPAS MUGWHAI LISU baada ya kushindwa vibaya Uchaguzi alitangaza maandamano yasiyo na ukomo. Maandamano hayo alisema yataanza Jumatatu...
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti.
Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama.
Mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu amekwenda Arusha mara mbili nyakati hizi za uchaguzi pasi na kufika nyumbani kwa muasisi wa chama chake kumsabahi na kuchota baraka.
Akiwa mkoani Mara Tundu Lissu aliforce hadi akalala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere huku luninga zikimfatilia.
Simlaumu Tundu...
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu
Chanzo: Mwananchi online
====
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument yaani ni wakati wa hoja za majumuhisho.
Ndugu zangu watanzania kapigeni kura tarehe 28/10/2020...
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lissu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.
Eti kwamba...
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.
Tuko wengi. Rafiki...
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo...
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za...
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia...
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU.
Na, Robert Heriel
Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja, tutampigia kura Tundu Lisu.
Nilishasema Kura ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi ipo kwa Tundu Lisu...
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu
Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?
Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?
Maendeleo hayana vyama!
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif.
Kipenzi cha Watanzania Dkt. Magufuli akiwa na komredi Polepole wao wanaanzia Bagamoyo...
Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha.
Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au...
Kama tujuavyo serikali ya awamu ya tano chini ya rais Magufuli imeibua miradi mingi mikubwa ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji, hii ikimaanisha kwamba tayari hii miradi imeshatumia pesa nyingi sana za walipa Kodi ambapo mgombea huyu anatoa ahadi kwamba tukimchagua tena...
UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI
Na, Robert Heriel
ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word)
Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya nimeyaona kwa macho yangu, na kuyashuhudia mimi mwenyewe wala sio kwa kuhadithiwa.
Je ni nani...
Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti.
CCM hupendelea kwaya na Singeli
Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya
ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani
NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk
Kinachotofautisha aina za burudani...
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma.
Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi.
Ndio kusema kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.