Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho.
Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia sekta ya utalii na wanyamapori wamekutana Oktoba 14, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, kujadili hatua za kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika kukuza utalii, kuhifadhi rasilimali za asili...
Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni.
Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo tishio duniani.
Akizungumza katika Mkutano huo, Rais wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa...
Ndugu wanabodi naomba mnisaidie hili swali linanitesa sana.
Ziliungana nchi mbili yaani Tanganyika iliungana na Zanzibar. Kila moja iliua baadhi ya stahiki zake kisha tukapata Tanzania. Na baada ya hapo tumekuwa na milolongo ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulikiwa bila kuisha yanayohusu...
Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu....
Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika Ubalozi wa Uingereza nchini Mongolia. Kulia ni Mwakilishi Maalumu wa Uingereza nchini Mongolia Bi...
abdul hafidh
biashara
binafsi
entebbe
hafidh ameir
hizi
ikulu
kujadili
matairi
mbili
mtoto
mtoto wa
mtoto wa rais
mtoto wa rais samia
na rais
nchi
rais
rais samia
rais wa uganda
samia
sekta
sekta binafsi
uganda
ujumbe
wake
Huu umekuwa kama ulemavu sasa.
Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities.
Mada zao ni kula bata...
Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili
Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu?
Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia umeanza tarehe 4 Mei 2026 mjini Tunduma mkoani Songwe, kujadili masuala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili ikiwemo uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru na visivyo...
Nimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti nzima.
Ripoti huijui, hujaisoma umeiona tu imefungwa kwenye gift wraps, kwanza umeambiwa ripoti...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi.
Hayo yanajiri...
Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo?
Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza.
Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?.
Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia...
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia.
Katika...
Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito.....
The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.