Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo?
Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza.
Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?.
Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia wanataka fidia kwa waathirika,na labda adhabu? kwa wahalifu.
Na haya yajadiluwe kabla ya Summit Meeting ijayo ya Commonwealth.
Hapa Tunahitaji Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Katiba yetu inaweza kuruhusu uundaji wa Unity Government?
Watu wanaweza kukubaliana kwamba tunaweza tu kutoka hapa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa?
Mimi nafikiria kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kesi ya ICC iwe unnecessary.
Hata yale mashtaka ya UNO, yule mjumbe wetu hakulazimika kuyajibu .
Kwanza walikuwa wameulizwa Wapakistani swali hilo hilo,
Wakasema it is not the business of anyone kama wamewatesa watu wao .
Halafu ndiyo mjumbe wa Tanzania akaulizwa.
Akaulizwa,Do you want to answer this accusation?