Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Rais...
Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu viongozi wa chama hicho kukosa uhalali wa wananchi kuongoza Zanzibar.
Ali Karume aliyegombea mara...
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi.
Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza
Hongera sana Mama kwa kuwajali...
Salaam Ndugu zanu,
Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake.
Katika Mazungumzo ambayo yamefanyika kwa muda wa saa Moja wabunge pamoja na mkuu wa Wilaya wamejadili mikakati ya...
Hoja ya Dkt. Tulia kusema hili ni bunge la bajeti na siyo la kujadili report ya CAG lipo sahihi, lakini kwa nini report ya CAG ijadiliwe baada ya kupitisha bajeti nyingine ilihali iliyopita ufanisi wake ni sufurisufuri.
Kwanini tisingeanza kujadili madudu ya bajeti iliyopita badala ya kuendelea...
Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.
Najua tupo wengi humu...
Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB.
Taarifa hiyo imetolewa na...
Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama.
Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.
Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.
Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.
#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output...
Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo.
Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Chama Cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) imeiomba serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Nchini ( TRA) kuweka utamaduni wa kukutana na wafanyabiashara kujadili namna ya kuweka mifuno mizuri ya ukusanyaji wa kodi stahiki hali itakayosaidia wafanyabiashara hao kulipa kodi kwa hiari...
Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo.
Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la...
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri.
Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90.
=====
President Samia Suluhu...
Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).
ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.