kujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Finland kujadili uwezekano wa kujiunga NATO

    Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO pia utajadiliwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Sanna Marin amesema ni jambo la kueleweka kuona Raia...
  2. Roving Journalist

    Kukithiri mauaji nchini: Waziri Masauni kukutana na viongozi Polisi kujadili. Aagiza wanaosajilia watu laini za simu wasakwe

    WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es Salaam KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  3. B

    Zamani jina la Mgombea kiti cha Uspika lilikuwa mjadala kusubiri Moshi mweupe, Leo hii hata CCM hawataki kujadili kama agenda wamemwachia Mwenyekiti

    Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti. Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote. Spika...
  4. Midimay

    Kamati Kuu ya CCM(CC) ikutane kujadili swala la Ndugai

    Habari za asubuhi kwa mtakaosoma. Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai. Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama...
  5. Idugunde

    Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

  6. Kamanda Asiyechoka

    Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  7. Q

    Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  8. muafi

    Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  9. Tanzania Railways Corp

    Mkurugenzi Mkuu TRC akutana na Balozi wa Rwanda kujadili mradi wa SGR Isaka - Kigali

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Charles Karamba na kujadili kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Isaka – Kigali, mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mkuu TRC...
  10. Miss Zomboko

    Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

    Bunge limesitisha kwa muda shughuli zake za leo ili kujadili changamoto ya bei duni inayowakumba wakulima wa mahindi nchini. Wabunge wameeleza kutoridhishwa na bei ndogo ya mahindi, bei ghali ya mbolea hivyo wameitaka Serikali kuiongeza hela NFRA ili inunue mahindi kwa wakulima. Waziri wa...
  11. mshale21

    Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza. Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo...
  12. Richard

    Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

    Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024. Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka...
  13. Cvez

    Yanga wapo busy kujadili uwekezaji wa MO halafu msimu ukianza wanaanza kulalamikia TFF

    Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji. By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha...
  14. Determinantor

    Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

    Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa...
  15. Red Giant

    Niccolo Machiavelli na kitabu chake The Prince (Of principality). Kwa kiswahili; kuhusu Uongozi. Tusome na kujadili

    KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na: Pictuss, 2021. Email: Pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021 Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu...
  16. Donnie Charlie

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  17. Kinuju

    Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  18. Analogia Malenga

    CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimepanga kikao cha dharura Juni 18, 2021 ili kujadili waliopata chanjo ya ~COVID19 ya Pfizer na Moderna ambao wamevimba moyo Watu 226 wameripotiwa kuwa na tatizo la myocarditis a pericarditis baada ya kupata chanjo. Wengi wameripotiwa kupona lakini...
  19. Chizi Maarifa

    Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

    Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji. Nchi za watu wenye akili wangetumia muda mwingi sana kuijadili budget. Kuangalia mazuri na mabaya...
Back
Top Bottom