Viongozi wawanajiropokea hovyo kwa sababu hakuna wakujibizana nao papo kwa papo wakajipima ujinga wanao uongea, ndio maana hujiona wako sahihi

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
4,158
Reaction score
7,667
Kuna muda ukiwasikia wanavyo onengea kwa jeuri na majigambo unawashangaa kabisa namna walivyo na ujinga mwingi kichwani
 
Matamshi kama haya! Watatufanya nini majeshi yoye ya kwetu
 
Attachments

  • IMG-20261027-WA0034.jpg
    IMG-20261027-WA0034.jpg
    86.3 KB · Views: 4
Si kwa sababu hamna anayeweza kuwajibu hapo kwa papo, ni kwa sababu hakuna anayeweza kuwawajibisha.

Hakuna kura, hakun anahakama, hakuna mfumo unaoweza kuwawajibisha kwa haki, mpaka landa watake wenyewe kuwajibishana.
 
Viongozi wengi wapumbavu sana na hasa serikali ya huyu mama
 
Back
Top Bottom