Lema anaelekea kutimiza maono,siku za mwizi ni arobaini.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Godbless Lema amesema yeye sio zoba apande kwenye mkutano wa Chadema aamrishe uasi,kamwe hawezi kufanya hivyo,yeye atatumia njia ya demokrasia sio demoghasia,hakika Godbless Lema sasa ameiva na amekuwa tayari kwa ajili ya kazi ya bwana,Godbless Lema anasema kuna siasa za chini kwa chini ndio zinazofanya mambo yaende,sio kutweet na kupiga kelele,amewataka vijana wote kuacha kupiga kelele siasa hazihitaji kelele,hakika Godbless Lema ameshukiwa na roho wa bwana,kabla ya kunena aliongea na wazee wa busara saba katika nchi hii na wajumbe kumi wa kamati kuu ya Chadema,akaamua kuongea kwa faida ya familia yake watoto wake na mtoto wake mdogo aliyezaliwa uko Canada ameishukuru Canada kwa kuipa familia yake uraia na sasa familia yake ni raia wa Canada,watakuwa wanakuja Tanzania kumsalimia yeye Godbless Lema.Ahsante.
 
Huyu siyo lema tuliomzoea, Kumbe Kimambi alikuwa mbele ya muda, duuh nimeamini Usimuamini Mwanasiasa hasa wa Africa,ni wasaliti na machawa waliokubuhu,wanaangalia maslahi yao binafsi, lema anaicha chadema soon,
 
Godbless Lema amesema yeye sio zoba apande kwenye mkutano wa Chadema aamrishe uasi,kamwe hawezi kufanya hivyo,yeye atatumia njia ya demokrasia sio demoghasia,hakika Godbless Lema sasa ameiva na amekuwa tayari kwa ajili ya kazi ya bwana,Godbless Lema anasema kuna siasa za chini kwa chini ndio zinazofanya mambo yaende,sio kutweet na kupiga kelele,amewataka vijana wote kuacha kupiga kelele siasa hazihitaji kelele,hakika Godbless Lema ameshukiwa na roho wa bwana,kabla ya kunena aliongea na wazee wa busara saba katika nchi hii na wajumbe kumi wa kamati kuu ya Chadema,akaamua kuongea kwa faida ya familia yake watoto wake na mtoto wake mdogo aliyezaliwa uko Canada ameishukuru Canada kwa kuipa familia yake uraia na sasa familia yake ni raia wa Canada,watakuwa wanakuja Tanzania kumsalimia yeye Godbless Lema.Ahsante.

..watu hawataki siasa za Ccm za kuteka, na kuuwa, wapinzani, na wanaharakati.
 
Lema kawaulisha watu Arusha, leo anarudi ccm
 
..watu hawataki siasa za Ccm za kuteka, na kuuwa, wapinzani, na wanaharakati.
Mkuu,hakuna mtu anayetaka Siasa za CCM za kuteka na kuuwa watu,njia sahihi za kubadilisha hili tatizo ni kuto compromise ili mfumo mzima ubadilishwe na si vingivevyo, kitu ambacho CCM hawakitaki kwa sababu wanafahamu kitakachowakuta.Lema ana advocate Chadema wakubali maridhiano kwa njia ambazo CCM wanazitaka,Kumtaka Lisu aombe msamaha ili aachiwe ni moja ya njia ya Maridhiano fake,unakamata Wapinzani,unawapa kesi za Uongo halafu unawalazimisha waombe msahamaha,then unaweka rekodi kuwa nimewapa msamaha kwa Masharti mliyokubaliana.Lisu anazifahamu hizi mbinu ndio maana amekataa,Amesema akikutwa na hatia basi afungwe,huku kuongeza ka kwa kuteka watu na hasa Chadema ni kuongeza pressure kwa Chadema ili watii Amri.Umesikia Lema alivyosema kwenye Press yake juu ya Pambalu?Lema ni Pandikizi na hili la kuweka mapandikizi ya CCM kila mahali ni tatizo kubwa sana Tanzania,si tatizo la Chadema tu,ni tatizo ambalo linahitaji kufanyiwa kazi karibu kila Mahali,Mapandikizi kwenye nyumba za ibada,Sehemu za Elimu,Huu ufungwa kwa Watanzania lazima ukome,CCM wameshasema wanamiliki Dola,kwa nini Lema na yeyote anayeitakia Tanzania mema asipambane ili tubadilishe mfumo CCM au chama cha Siasa chochote kamwe kisiwe na uwezo wa kumiliki Dola?Hii Shortcut ya kuomba msahamaha ya Lisu itawezeshaje CCM kujibadilisha na kuhakikisha tuna Mahakama huru,Polisi na Jeshi ambalo halimilikiwi na Chama?Lema ni Pandikizi,Kuwaexposed kwa Lema ni Ushindi kwa wapenda mabadiliko ya Tanzania.
 
Lema anatafuta pesa ya kwenda kuspend Canada na mke wake kwa gharama ya CHADEMA. Bora aondoke tupate kifaa kingine cha CHADEMA Arusha
 
Back
Top Bottom