Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ukisikiliza press conference ya leo ya Lema ni wazi chadema wanatakiwa wawafute haraka sana uanachama Lema, mbowe, boniyai na sugu wana-comprimise chama
Mimi sio mwanachama wa chadema ila as long hao watu ni wanachama wa chadema watavuruga kisawasawa sababu wanapiga miguu yote
Mfano press conference ya leo ya Lema ni kama amekuja kumjibu mangekimambi ambaye amekua akimtuhumu zaidi ya miezi
Sijasema aliyoyasema mangekimambi ni ya kweli hapana ila hakukua na ulazima wa yeye kumjibu mangekimambi sababu ameleta sintofahamu juu mambo mengi sana kwamba inaweza ikawa ni kweli hata wale ambao hawakumsikiliza mangekimba wataenda kumsikiliza asingemjibu angekaa kimya