Je Lema ni Joe Slovo wa Tanzania

Je Lema ni Joe Slovo wa Tanzania

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,436
Reaction score
4,756
Wakati wa harakati za kudai Uhuru Africa kusini kulikuwa na Kiongozi mmoja mzungu aliyeitwa Joe Slovo. Huyu Bwana alikuwa kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Africa Kusini. Alikuwa ni Mzungu lakini ambaye alikuwa na Ukaribu sana na ANC na aliyekuwa Mpinzani.Yeye na Nelson Mandela walikuwa ni viongozi wa Umkhoto we Sizwe.

Lema,katika namna anvyojiweka na kwa kuonesha kwamba anao utayari wa kufanya engagement ili kama taifa tuondoke katika Mkwamo wa kisiasa uliopo anaweza akaibuka kuwa shujaa wa TAIFA letu.

Kwa nini ninasema hivi?Kinachoendelea sasa hiv katika nchi yetu wote tunakiona.Kwanza kuna changamoto za kisiasa ambazo zimekuwepo nchini kwa muda mrefu lakini pia kuna masuala ya vurgu za Oct 29.

Mazingira yalivyo kwa sasa yanahitaji ujasiri na utayari wa kipekee ili kuweza kutoka tulipo.Kwa kauli ya Lema ya kuonesha UTAYARI wa kushiriki mazungumzo unaweza ukamfanya akawa kinara wa kututoa kwenye Mkwamo huu kama TAIFA.

Kuna wakati inabidi kabisa viongozi wa kisiasa wawe na ujasiri wa kukubali kuzungumza ili baadhi ya mambo yaishe.Kimsingi Kauli ya Lema inafungua njia mpya kwa Chadema hawa viongozi kuonesha Utayari wao wa kutoka kwenye mkwamo uliopo.

Je kwa Nafasi yake hiyo na iwapo itafanikiwa anaweza kuwa Ndio Joe Slovo wa Tanzania?
 
Lema kukubali kutumika Kwa maslahi yake ni kete yake ya mwisho Katika siasa za upinzani!Hapo amekula pesa ya uhakika mpaka kusaliti Chama na wanachama wa upinzani waliompa heshima Kwa muda mrefu!
Ndio mwisho wa Lema Katika siasa za upinzani,kiufupi amenunua one way ticket to his grave!
 
Kama ni wito ambao unatoka ndani kabisa ya mtima ni sawa ila kwa yeye wanamizengo tumeona kuna namna na yeye sio wa kwanza hata Mbowe nae ni walewale tu, Kwa upande wangu mpaka waweze kumnunua T.A.L na HECHE ndio tunaweza kuongea lugha moja ya kitaifa.
 
Yeye lema alipoteza ndugu wangapi hata leo yeye atake mbio mbio kujitoa kwenye unachokiita mkwamo wa kisiasa?

Wanasiasa mfano wa huyo jamaa wanaoongozwa na njaa kali ndiyo wanalicost taifa na watu wake.
 
Usimpe mtu sifa za kihistoria kwa mkopo. Joe Slovo alijenga historia yake kwa vitendo, si kwa kufananishwa na mtu.
 
Wakati wa harakati za kudai Uhuru Africa kusini kulikuwa na Kiongozi mmoja mzungu aliyeitwa Joe Slovo.Huyu Bwana alikuwa kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Africa Kusini.Alikuwa ni Mzungu lakini ambaye alikuwa na Ukaribu sana na ANC na aliyekuwa Mpinzani.Yeye na Nelson Mandela walikuwa ni viongozi wa Umkhoto we Sizwe.

Lema,katika namna anvyojiweka na kwa kuonesha kwamba anao utayari wa kufanya engagement ili kama taifa tuondoke katika Mkwamo wa kisiasa uliopo anaweza akaibuka kuwa shujaa wa TAIFA letu.

Kwa nini ninasema hivi?Kinachoendelea sasa hiv katika nchi yetu wote tunakiona.Kwanza kuna changamoto za kisiasa ambazo zimekuwepo nchini kwa muda mrefu lakini pia kuna masuala ya vurgu za Oct 29.

Mazingira yalivyo kwa sasa yanahitaji ujasiri na utayari wa kipekee ili kuweza kutoka tulipo.Kwa kauli ya Lema ya kuonesha UTAYARI wa kushiriki mazungumzo unaweza ukamfanya akawa kinara wa kututoa kwenye Mkwamo huu kama TAIFA.

Kuna wakati inabidi kabisa viongozi wa kisiasa wawe na ujasiri wa kukubali kuzungumza ili baadhi ya mambo yaishe.Kimsingi Kauli ya Lema inafungua njia mpya kwa Chadema hawa viongozi kuonesha Utayari wao wa kutoka kwenye mkwamo uliopo.

Je kwa Nafasi yake hiyo na iwapo itafanikiwa anaweza kuwa Ndio Joe Slovo wa Tanzania?
Mkuu, tafadhali usimlinganishe the legendary Joe Slovo na vitu vya kijinga.

Joe Slovo ni kati ya watu wachache duniani wanaoweza kusema wamepigana na Nazi na Apartheid na kushinda vita zote.

Joe Slovo kaanzisha Umkontho we Sizwe na kapigania haki mpaka kashinda.

Joe Slovo alipofanya mazungumzo ilikuwa kimkakati na kwa kukubaliana na viongozi wenzake kina Mandela, si kinyemela na bila kufuata hata falsafa za Lissu kama anavyofanya Lema.

Joe Slovo was intellectually brilliant, his 1992 paper "Sunset Clause" was influential in avoiding a bloodbath in South Africa. Mandela mwenyewe kasema hivyo. Lema cannot even articulate himself with logical consistency.

Joe Slovo was Umkontho we Sizwe's bombmaker, he was not just kowtowing, he was negotiating from a position of power, Lema is begging Samia for mercy, do not confuse these two very different things.
 
Safi Sana.Hii Ndio JF.Thanks.
 
Yeye lema alipoteza ndugu wangapi hata leo yeye atake mbio mbio kujitoa kwenye unachokiita mkwamo wa kisiasa?

Wanasiasa mfano wa huyo jamaa wanaoongozwa na njaa kali ndiyo wanalicost taifa na watu wake.
Kupoteza ndugu wala si credibility ya kupima uadilifu wa Lema au loyalty yake kwa Chadema.

Ccm imemuweka jela Lema kwa kesi za kutunga, amekaa jela Kisongo kwa muda mrefu.

Leo wapo makamanda uchwara wanadhani wao wana uchungu na Chadema kuliko Lema, unakuta mtu tangu azaliwe hajahi hata kulala lockup ya Polisi post lakini tofauti na Lema amekunja ngome anaijuwa jela nje ndani.

Wanaodhani ukamanda ni kukaa jela bila strategy wajaribu wao kupewa case za muda mrefu ambazo hazina bail, au leo wakamuulize yule kijana aliyepewa kesi ya uhain anachaguwa nini, akae jela mpaka haki ipatikane au anachaguwa 4R? Atawapa majibu kamili.
 
Wakati wa harakati za kudai Uhuru Africa kusini kulikuwa na Kiongozi mmoja mzungu aliyeitwa Joe Slovo. Huyu Bwana alikuwa kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Africa Kusini. Alikuwa ni Mzungu lakini ambaye alikuwa na Ukaribu sana na ANC na aliyekuwa Mpinzani.Yeye na Nelson Mandela walikuwa ni viongozi wa Umkhoto we Sizwe.

Lema,katika namna anvyojiweka na kwa kuonesha kwamba anao utayari wa kufanya engagement ili kama taifa tuondoke katika Mkwamo wa kisiasa uliopo anaweza akaibuka kuwa shujaa wa TAIFA letu.

Kwa nini ninasema hivi?Kinachoendelea sasa hiv katika nchi yetu wote tunakiona.Kwanza kuna changamoto za kisiasa ambazo zimekuwepo nchini kwa muda mrefu lakini pia kuna masuala ya vurgu za Oct 29.

Mazingira yalivyo kwa sasa yanahitaji ujasiri na utayari wa kipekee ili kuweza kutoka tulipo.Kwa kauli ya Lema ya kuonesha UTAYARI wa kushiriki mazungumzo unaweza ukamfanya akawa kinara wa kututoa kwenye Mkwamo huu kama TAIFA.

Kuna wakati inabidi kabisa viongozi wa kisiasa wawe na ujasiri wa kukubali kuzungumza ili baadhi ya mambo yaishe.Kimsingi Kauli ya Lema inafungua njia mpya kwa Chadema hawa viongozi kuonesha Utayari wao wa kutoka kwenye mkwamo uliopo.

Je kwa Nafasi yake hiyo na iwapo itafanikiwa anaweza kuwa Ndio Joe Slovo wa Tanzania?
Kwa hyo mwanajeshi akiwa vitani akishindwa vita anajiondokea bila amri ya kamanda wake,wewe ni punga.

Kwa wanajeshi angepigwa na kuuwawa .

Kwa kuwa ni mwanasiasa afutwe uanachama akaungane na wauwaji wenzake
 
Natamani hii week iishe tumechoka na habari za lema maana mnafika mbali kumfananisha na manguli wa siasa kama joe slovo?
this is too much!
 
Kupoteza ndugu wala si credibility ya kupima uadilifu wa Lema au loyalty yake kwa Chadema.

Ccm imemuweka jela Lema kwa kesi za kutunga, amekaa jela Kisongo kwa muda mrefu.

Leo wapo makamanda uchwara wanadhani wao wana uchungu na Chadema kuliko Lema, unakuta mtu tangu azaliwe hajahi hata kulala lockup ya Polisi post lakini tofauti na Lema amekunja ngome anaijuwa jela nje ndani.

Wanaodhani ukamanda ni kukaa jela bila strategy wajaribu wao kupewa case za muda mrefu ambazo hazina bail, au leo wakamuulize yule kijana aliyepewa kesi ya uhain anachaguwa nini, akae jela mpaka haki ipatikane au anachaguwa 4R? Atawapa majibu kamili.
Machoko nani atawasikiliza tofauti na wapiga miti wenu
 
Back
Top Bottom