Ukweli mchungu: Kupingwa na kukataliwa kwa maelezo ya Lema, ni kupingwa na kukatliwa kwa watawala

Ukweli mchungu: Kupingwa na kukataliwa kwa maelezo ya Lema, ni kupingwa na kukatliwa kwa watawala

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Baada ya Godbless Lema kuongea, asilimia 95 ya wanaotoa maoni kuhusu hotuba yake, wanampinga na wanamdhangaa sana

Hii maana yake nini?

Tafsiri yake ni kwamba, umma umeyakaa maelezo yake na zaid umma umeendelea kuwakataa anaowatumikia(waliomtuma)ambao si wengine bali ni watawala
 
Sasa km Mbowe kakiacha, na Chama kinaendelea km kawa, shida nini huyo nabii uchwara?

Tena muambie aondoke sasa hivi, anachelewa nini??

Chama ki naendelea vp wakati kishakufa watanzania tuko busy na mambo mengine labda kdg hilo la lissu ndo tutalifuatilia aachiwe tu arudi mtaani tuko busy tunafuatilia siasa za kimataifa kwa sasa
 
Chama ki naendelea vp wakati kishakufa watanzania tuko busy na mambo mengine labda kdg hilo la lissu ndo tutalifuatilia aachiwe tu arudi mtaani tuko busy tunafuatilia siasa za kimataifa kwa sasa
Ni wepi wanaofuatilia siasa za kimataifa? Wanachi tuko Chadema ya sasa, iliyo chini ya falsafa ya haki na uwazi, uwajibikaji na sheria, chini ya viongozi mahiri na shupavu Lissu na Heche, Mnyika na Rupia.

Sio ile ya kitapeli na kidalali chini ya Mbowe na kina mwalimu etc.

Muambie Nabii uchwara siasa zake za kufika bei kwa watawala na mazungumzo ya gizani na mafichoni, huu sio wakati wake, km haendani na mfumo huu, amfuate kaka yake Makengeza huko.

PEOPLE'S POWER!!!!!!!
 
Nyie kila siku kusalitiana tu malizaneni na Lema wenu hukohuko
 
Yote haya yanayowapa kiburi ni matokeo ya kukosekana kwa utawala wa sheria. Ila hakuna kupigiwa magoti.

Dunia lini imewahi kuwa na utawala wa sheria labda kwa nchi chache sana Ila the rest kote huko Usizinguane na system…ukitaka Mali itafute shambani Ingekuwa hao wazungu wastaraabu mnaowategemea wangeuana tokea histori na histori ulaya vita havijawahi kuisha ni wafalme kwa wafalme madikteta kwa madikteta
 
Baada ya Godbless Lema kuongea, asilimia 95 ya wanaotoa maoni kuhusu hotuba yake, wanampinga na wanamdhangaa sana

Hii maana yake nini?

Tafsiri yake ni kwamba, umma umeyakaa maelezo yake na zaid umma umeendelea kuwakataa anaowatumikia(waliomtuma)ambao si wengine bali ni watawala
Lema kwanza kabla hujaenda kwenye content, attitude yake ni nyodo, delivery yake ni egotistic, anataka kukuonesha yeye ni mtu wa matawi, connection, bragging. Kumbe hajui huo ni ulimbukeni unaomuonesha kuwa yeye ni mshamba tu.

Tofauti kabisa na mtu kama Lissu ambaye anaweza kuwa firm, but modest, principled. Ukajua huyu jamaa anasimamia nini.

Mimi napenda sana kuchambua wanasiasa kwa kuangalia logical consistency.

Lema ukimpa dakika kumi tu kuongea unagundua anaji contradict, hana deep principles, hizo principles anazosema anazo nyingi ni performance tu.

Ukimsikiliza mtu kama Lissu, ukubaliane naye au utofautiane naye, unaweza kuona sophistication, unaweza kuona huyu mtu anasimamia principles gani. Unaona huyu mtu ana msimamo. Kuna maswali ya mtego (sikumuuliza kwa kumtega lakini baadaye niligundua ni ya mtego)nilishamuuliza Lissu, alinijibu kifalsafa vizuri sana, kwa namna inayoonesha mtu anayejitambua na ana principles.

Yani Lissu watu wanaweza kuogopa kesi ya kunyongwa wakati yeye kashakubali kufa kama Socrates au Mandela.

I can't see Lema doing that.

Lema akianza kuongea tu unajua huyu anatafuta convenience zaidi ya kuwa na msimamo.

Lema akianza kuongea tu, unajua tu this guy is just a hustler with status anxiety, he is lording it over us.

The sad thing is, kuna wakati Lema alivyokuwa Canada nilikuwa nakaa naye sana, tunampiga msasa fulani, nikaona kukaa Canada kunaanza kumfungua mawazo Lema, na kiukweli alionesha uwezo fulani wa kujifunza mambo kwa haraka sana. Mpaka nikawa na matumaini kwamba Lema anaweza kubadilika sana.

Lakini naona kuna mambo kayaacha huko huko sasa hivi anaenda na mazingira ya siasa za kuwindana na kujinufaisha ya Tanzania.
 
Lema Namjua hatanii endeleeni kumshika shika shati awaachie chama chenu kisicho na displine
Eti awaachie chama chenu, kama Mbowe anaonekana msen#$ge tu ndio itakuwa Lema? Kwa taarifa yako cdm ni spirit sio sura ya mtum Hata Lisu akizingua watu wanampotezea vilevile.
 
Tukubali kwamba ulimwengu unabadilika kwa kasi ambayo hatukuwahi kuishudia. Kuanzia fikira, teknolojia na tamaduni. Tawala nyingi sasa zinabadilika kwa sababu watu wanabadilika kutokana na maendeleo na ukuaji mkubwa wa sayansi na teknolojia.

Tuache kufikiri kwamba hakuna kinachobadilika kwa sababu hatuwezi kuzuia mageuzi yanayotokea duniani.
 
Lema Namjua hatanii endeleeni kumshika shika shati awaachie chama chenu kisicho na displine
Ndo mnaendelea kumjaza mavi kichwani?...Aondoke tu, Chama kitaendelea kuwepo na kustawi vyema kabisa
 
Lema akiondoka CHADEMA atakuwa kakifanyia chama favour kubwa sana. Lema alikuwa anabebwa na CHADEMA kama taasisi lakini yeye binafsi ni mtupu kabisa. Hawezi hata kujieleza zaidi ya kuegemea mistari ya Biblia
 
Sisi tunamjua Lema kama mwanachama wa CDM na kiongozi wa CDM.

sasa mambo yenu ya CDM yanawahusu nini watawala.

safarini Mogadishu - Somalia.
 
Baada ya Godbless Lema kuongea, asilimia 95 ya wanaotoa maoni kuhusu hotuba yake, wanampinga na wanamdhangaa sana

Hii maana yake nini?

Tafsiri yake ni kwamba, umma umeyakaa maelezo yake na zaid umma umeendelea kuwakataa anaowatumikia(waliomtuma)ambao si wengine bali ni watawala
Machalii wa Arusha tangu "walishwe nyama za Bure" hamna kitu.
 
Back
Top Bottom