Ukweli mchungu: Kupingwa na kukataliwa kwa maelezo ya Lema, ni kupingwa na kukatliwa kwa watawala

Lema akiondoka CHADEMA atakuwa kakifanyia chama favour kubwa sana. Lema alikuwa anabebwa na CHADEMA kama taasisi lakini yeye binafsi ni mtupu kabisa. Hawezi hata kujieleza zaidi ya kuegemea mistari ya Biblia

Tuache unafiki, unapoongelea ukuaji na mizizi ya CDM huwezi kumuweka Lema mbali.
Lema ni moja ya watu muhimu kwenye ujenzi wa CDM kutoka ilipotoka.

Haya unayoongea ni kumkosea Lema heshima kisa kuwa na mtazamo tofauti na wengine mnavyowaza, ile demokrasia na hali mnayoimba iko wapi sasa??.

Mliwahi kumuita Dr Slaa msaliti, ZZK msalliti, Mbowe msaliti na sasa Lema kisa tu kwenda tofauti kifikra na mawazo lakini mkamuita EL na kundi lake la ulipo tupo makamanda..

safarini Mogadishu - Somalia.
 
Hata Kamboa

Hata Kambona alikuwa na umuhimu TANU kuliko hata umuhimu wa Lema aliokuwa nao CHADEMA.
Lakini alipotofautiana mtizamo na wenzake alioneshwa mlango wa kutoka. Same kwa Nchimbi, Bibi Titi n.k.

Lema siyo mkubwa kuliko Chadema na nje ya CHADEMA Lema siyo lolote. Labda aende ccm akale makombo.

Kama ameshindwa kwenda na wenzake ni bora ajiondoe akae pembeni kama alivyofanya Prof. Safari lakini siyo kujimwambafai kwenye press as if bila yeye hakuna chadema
 
Chama ki naendelea vp wakati kishakufa watanzania tuko busy na mambo mengine labda kdg hilo la lissu ndo tutalifuatilia aachiwe tu arudi mtaani tuko busy tunafuatilia siasa za kimataifa kwa sasa
Ndio maana unajiita ndege john. Akili ya ndege ndio ulionayo
 
Lema kwanza kabla hujaenda kwenye content, attitude yake ni nyodo, delivery yake ni egotistic, anataka kukuonesha yeye ni mtu wa matawi, connection, bragging. Kumbe hajui huo ni ulimbukeni unaomuonesha kuwa yeye ni mshamba tu.

Tofauti kabisa na mtu kama Lissu ambaye anaweza kuwa firm, but modest, principled. Ukajua hihu jamaa anasimamia nini.

Mimi napenda sana kuchambua wanasiasa kwa kuangalia logical consistency.

Lema ukimpa dakika kumi tu kuongea unagundua anaji contradict, hana deep principles, hizo principles anazosema anazo nuingi ni performance tu.

Ukimsikiliza mtu kama Lissu, ukubaliane naye au utofautiane naye, unaweza kuona sophistication, unaweza kuona huyu mtu anasiamamia principles gani. Unaona huyu mtu ana msimamo. Kuna maswali ya mtego (sikumuuliza kwa kumtega lakini baadaye niligundua ni ya mtego)nilishamuuliza Lissu, alinijibu kifalsafa vizuri sana, kwa namna inayoonesha mtu anayejitambua na ana principles.

Yani Lissu watu wanaweza kuogopa kesi ya kunyongwa wakati yeye kashakubali kufa kama Socrates au Mandela.

I can't see Lema doing that.

Lema akianza kuongea tu unajua huyu anatafuta convenience zaidi ya kuwa na msimamo.

Lema akianza kuongea tu, unajua tu this guy is just a hustler with status anxiety, he is lording it over us.

The sad thing is, kuna wakati Lema alivyokuwa Canada nilikuwa nakaa naye sana, tunampiga msasa fulani, nikaona kukaa Canada kunaanza kumfungua mawazo Lema, na kiukweli alionesha uwezo fulani wa kujifunza mambo kwa haraka sana. Mpaka nikawa na matumaini kwamba Lema anaweza kubadilika sana.

Lakini naona kuna mambo kayaacha huko huko sasa hivi anaenda na mazingira ya siasa za kuwindana na kujinufaisha ya Tanzania.

..Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.

..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.

..Lissu alipokutana na Samia Ubelgiji alitoka hadharani na kueleza kile alichomwambia Rais.

..Kuna watu walianza kumlaumu kwamba Lissu hana busara, na hana kifua, kwasababu ya kuweka wazi ajenda za mazungumzo yake na Mama Samia.

..Kitendo cha Lissu kuwa muwazi kimezuia fursa kwa Ccm wana watu wao kupotosha kuhusu mazungumzo ya Lissu na Mama Samia.

..Uwazi huo umemkinga Lissu na uwezekano wa kuitwa msaliti maana Ccm siku zote hutafuta namna ya kuwafanya wapinzani, haswa Chadema, wasiaminiane, na wafarakane.

..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.

Cc Nguruvi3
 
Baada ya Godbless Lema kuongea, asilimia 95 ya wanaotoa maoni kuhusu hotuba yake, wanampinga na wanamdhangaa sana

Hii maana yake nini?

Tafsiri yake ni kwamba, umma umeyakaa maelezo yake na zaid umma umeendelea kuwakataa anaowatumikia(waliomtuma)ambao si wengine bali ni watawala
na amewaconfused sana aise dah!🐒
 
Hata Kamboa

Hata Kambona alikuwa na umuhimu TANU kuliko hata umuhimu wa Lema aliokuwa nao CHADEMA.
Lakini alipotofautiana mtizamo na wenzake alioneshwa mlango wa kutoka. Same kwa Nchimbi, Bibi Titi n.k.

Lema siyo mkubwa kuliko Chadema na nje ya CHADEMA Lema siyo lolote. Labda aende ccm akale makombo.

Kama ameshindwa kwenda na wenzake ni bora ajiondoe akae pembeni kama alivyofanya Prof. Safari lakini siyo kujimwambafai kwenye press as if bila yeye hakuna chadema

Mchango wa Bibi Titi na Kambona unakumbukwa Tanu na CCM ndio maana vitabu vya historia vinawataja.

Sasa shida inakuja pale tunaposema Lema amebebwa na CDM ilihali wote tunajua Lema ni moja ya wajenzi wa CDM kaskazini na kwingineko Kwa nguvu, damu na jasho jingi.

Kuondoka sio issue ni suala la kawaida ila dhambi na ujinga ni kumuita mpumbavu aliyebebwa na chama na hana ajualo.

Safarini Mogadishu - Somalia.
 
..Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.

..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.

..Lissu alipokutana na Samia Ubelgiji alitoka hadharani na kueleza kile alichomwambia Rais.

..Kuna watu walianza kumlaumu kwamba Lissu hana busara, na hana kifua, kwasababu ya kuweka wazi ajenda za mazungumzo yake na Mama Samia.

..Kitendo cha Lissu kuwa muwazi kimezuia fursa kwa Ccm wana watu wao kupotosha kuhusu mazungumzo ya Lissu na Mama Samia.

..Uwazi huo umemkinga Lissu na uwezekano wa kuitwa msaliti maana Ccm siku zote hutafuta namna ya kuwafanya wapinzani, haswa Chadema, wasiaminiane, na wafarakane.

..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.

Cc Nguruvi3
Nafikiri Lissu, licha ya character yake tu, ile legal training, kusoma sheria, ile kuipenda kabisa sheria si kusomea mitihani tu kama wanavyofanya wengine, kumemsaidia sana ku analyze mambo deeply na kujua implications zake.

Na hapo ndipo unapoona umuhimu wa kusoma. Unaona kabisa mtu mjanjamjanja wa mjini tu kama Lema anashindwa kuwa na a deeply analytical mind, kuwa na a deep logical consistency, mpaka ku value mambo kama hayo ya uwazi.

Anatupiga ujanjaujanja tu wa kibongobongo.

Na watu tunaojua, tunaona tofauti.
 
Waliopinga kina nani?!! Wewe, lwaitama, slaa na nyumbu wengine wa lissu au?!!!!🤣🤣🤣🤣
 
..Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.

..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.

..Lissu alipokutana na Samia Ubelgiji alitoka hadharani na kueleza kile alichomwambia Rais.

..Kuna watu walianza kumlaumu kwamba Lissu hana busara, na hana kifua, kwasababu ya kuweka wazi ajenda za mazungumzo yake na Mama Samia.

..Kitendo cha Lissu kuwa muwazi kimezuia fursa kwa Ccm wana watu wao kupotosha kuhusu mazungumzo ya Lissu na Mama Samia.

..Uwazi huo umemkinga Lissu na uwezekano wa kuitwa msaliti maana Ccm siku zote hutafuta namna ya kuwafanya wapinzani, haswa Chadema, wasiaminiane, na wafarakane.

..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.

Cc Nguruvi3

"Strategic engagement" hiyo ndio approach anayoiamini Lema kwenye kuyaendea mambo yake, bahati mbaya wenzake hawataki kukubaliana nayo, sasa mpaka amekuja hadharani maana yake anataka jamii ya CDM na wengine wajue yeye yuko upande gani wa shillingi ( ndio uwazi huo unaousema sasa, maana Kila kitu kina muda wake, ndio maana kwake huu ndio muda Sasa wa kuweka mambo wazi)..

Kifupi Lema amegoma kukubaliana na approach ya wenzie na amegoma kumezea, baadala yake ameamua kuwa mkweli wapi msimamo wake ulipo ( kosa lake hapa ni nini?)..

Inawezekana Strategic engagement yakina Lema na Mbowe ndio imezaa vipaji vilivyoibeba CDM kama ZZK, Mnyika, Halima, Ester, Lissu, Heche nk...

safarini Mogadishu - Somalia.
 
Kila nikijaribu kuja huku siasani, nashindwa kabisa.
 
..Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.
Nilipoona Lema analeta mambo ya tone tone nilijua kulikuwa na msukumo. Lema alitumiwa na wana CCM kumhujumu Heche kwa kuanzisha vurugu za mtandaoni. Wale viongozi waliotoka kumshambulia Heche kwa pesa wasizoweza kueleza zimeliwa vipi ilikuwa ni mkakati wa CCM kupitia Lema

Leo tunajua kumbe agenda ya ''Heche kukataa maridhiano ni kumhujumu Lissu'' imetoka kwa Lema'
Lema amesema exactly walichosema CCM kuhusu Heche! leo anasifiwa na kila mwana CCM
..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.
Exactly! na hilo limemjengea credibility Lissu. Unakumbuka Mbowe alipokwenda kunywa chai alikaa kimya ndipo hoja ya kulamba buyu la asali ilipoanza. Mazungumzo na CCM yanaendelea Mbowe ameficha kama siri, watu walimuona hana credibility na ilichangia sana kupigwa chini katika uenyekiti!
..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.
Ndio maana wanawataka CHADEMA ili wakapige picha kisha kuzisambaza duniani. Ukweli ni kwamba wanataka uhalali wa madaraka na uhalali wa walichokifanya oct29. CCM hawana nia ya dhati ya maridhiano
Hadi leo kama ulivyosema hakuna anayejua kwanini mazungumzo ya miaka 2 yaliisha hewani.
CCM wanataka kupitisha muda lakini this time naona wamekwama maana hata mawakala wanaumbuka

Kwa ile press ya jana, Lema amehujumu CHADEMA kuliko kuijenga iwe kwa nia njema au mbaya!
Hata zogo likitulia Lema hana vote of confidence kwa wenzake, ingekuwa vema akakaa pembeni na kibuyu
 
Tuache unafiki, unapoongelea ukuaji na mizizi ya CDM huwezi kumuweka Lema mbali.
Lema ni moja ya watu muhimu kwenye ujenzi wa CDM kutoka ilipotoka.

Haya unayoongea ni kumkosea Lema heshima kisa kuwa na mtazamo tofauti na wengine mnavyowaza, ile demokrasia na hali mnayoimba iko wapi sasa??.

Mliwahi kumuita Dr Slaa msaliti, ZZK msalliti, Mbowe msaliti na sasa Lema kisa tu kwenda tofauti kifikra na mawazo lakini mkamuita EL na kundi lake la ulipo tupo makamanda..

safarini Mogadishu - Somalia.

"Strategic engagement" hiyo ndio approach anayoiamini Lema kwenye kuyaendea mambo yake, bahati mbaya wenzake hawataki kukubaliana nayo, sasa mpaka amekuja hadharani maana yake anataka jamii ya CDM na wengine wajue yeye yuko upande gani wa shillingi ( ndio uwazi huo unaousema sasa, maana Kila kitu kina muda wake, ndio maana kwake huu ndio muda Sasa wa kuweka mambo wazi)..

Kifupi Lema amegoma kukubaliana na approach ya wenzie na amegoma kumezea, baadala yake ameamua kuwa mkweli wapi msimamo wake ulipo ( kosa lake hapa ni nini?)..

Inawezekana Strategic engagement yakina Lema na Mbowe ndio imezaa vipaji vilivyoibeba CDM kama ZZK, Mnyika, Halima, Ester, Lissu, Heche nk...

safarini Mogadishu - Somalia.
List ya viongozi wa CCM waliotofautiana na chama chao waziwazi:
1. Horace Kolimba
2. Kighoma Malima
3. Humphrey Polepole
4. Emmanuel Nchimbi

Baada ya kutoka hadharani kupingana na chama chao, hatma zao hawa wote zinafanana.
 
Back
Top Bottom