Wala hakuna mfanano wowote kwenye hizo rejea zako,Lemma ameamua kutoboa mtumbwi aliopanda. Aende zake tu huko CCM anakosema ameahidiwa mambo makubwaLipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia.
Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa.
Chadema wajitahadhari sana na LEMA.
Wajifunze kupitia NCCR na CUF