M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Tuesday at 6:41 AM #1 Namshauri ajiuzulu Chadema . Aende chauma akaungane na Yericko Nyerere apambane na mambe , Maria na Hilder na Lissu. Ndani ya chadema hawawezi
Namshauri ajiuzulu Chadema . Aende chauma akaungane na Yericko Nyerere apambane na mambe , Maria na Hilder na Lissu. Ndani ya chadema hawawezi
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 5,146 Reaction score 15,927 Tuesday at 7:09 AM #2 Lema hana shida na CDM, Lema anashida na wanaharakati hao waliopo kwenye nchi za watu. Wanaharakati wamejigeuza kuwa wasemaji wa CDM.
Lema hana shida na CDM, Lema anashida na wanaharakati hao waliopo kwenye nchi za watu. Wanaharakati wamejigeuza kuwa wasemaji wa CDM.