econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Wewe ndio kenge namba Moja. Usiyr na akili, unayeongea mambo bila utafiti wowote.Tatizo la Chadema ni na vyama vyote vya siasa ni moja, ni lile lile kama la dini. Ulianza ukatoliki waprotestant wakajitenga na kuanza kuwaona wakatoliki waovu, wabaya. Papa akaanza kuitwa mpinga kristo, waprotestanti wakijiona wako sahihi.
Baadaye wakaja walokole wakawaona wakristio wengine ni wabaya, after all hawaneni kwa lugha, halafu wanakunywa pombe.
Walokole wakaeenda wee saa hizi tuna manabii na mitume matapeli wanapiga pesa na kumiliki utajiri wa ajabu ndani ya ulokole. Kila mtu mwenye common sense anaanza kuona hakuna cha mkatoliki, mprotestanti wala mlokole, dini zote ni watu wale wale na mapungufu yao.
Njoo kwa vyama vya siasa sasa.
Hivi Chadema, Lema, Lissu na kenge wengine ndani ya hicho chama wana guts gani za kuanza kumnyooshea kidole kenge wengine. Kenge ni kenge tu. Lema hana moral authority ya kusema hiki ni sahihi hiki sio sahihi. Wanasiasa na binadamu kwa ujumla tujifunze kuwa humble na kusema machache.
Na kwa namna Chadema inavyojipeleka itakuwa kosa la millenia kwa nchi hii kuwapa hawa watu nchi watuongoze.