Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Uzi uandike wewe..
Wao wajifanye wanajua kusudi la uzi wako mpaka wabadili title.
Wao waone nyuzi yako zinafanana na nyuzi fulani then waunge.
Hao hao mods wapite na nyuzi yako bila taarrifa.
Hao hao wa edit uzi wako u fit vile wao wanaona ina sound vyema.
Sasa, uhuru wa sisi wanajukwaa uko wapi?