Unawezaje kuwa mchafu namna hii na kunywesha wenzio uchafu?

Unawezaje kuwa mchafu namna hii na kunywesha wenzio uchafu?

Kwani hayo maji si yanachemshwa!? Au mnakunywa hiyo Tangawizi kama juice ya miwa?

We ushakunywa sana MAVI ya jirani😂
kwahiyo wewe ukimwona mtu anaweka mavi kwenye maharage yanayochemka utakula sababu yamechemshwa unqjua yakipoa wadudu wanaamkoa

Ndo maana kuna kuharisha sababu hata ukila kilichochemshwa ila kiliharibika unapata tabu
 
wewe ni mgambo wa jiji au tmda
Hapana..lakini kwa ambacho ningefanya hiyo biashara ingefungwa tu hata kwa kukosa wateja!
Haiwezekani mtu awalishe watu uchafu tena makusudi halafu tumuangalie tu bila kuchukua hatua yoyote!
 
Back
Top Bottom