Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba.
Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba
Mitaa tunayokazita kadhilika
Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii
Makutano yote yana alama hii
Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii inaingia akilini japo ulitumika kwenye ngano ya kuuliwa kwa Yesu. Ukiuliza kosa lake? Hakuna.
Wapo wanaosema alitumwa kuja kuwakomboa wenye dhambi kana kwamba wote walitenda dhambi.
Ajabu, yule aliyewezesha 'ukombozi' huu, Yuda Iskarioti eti aliaaniwa! Kwa kosa lipi wakati aliwezesha ukombozi?