Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni
Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili.
Updates za vikosi vya timu...
Salaam jamiiforum
Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao.
Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .
aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2.
viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
Tufikie hatua tuwe wakweli tu. Hii michezo tunayofanya haijengi team na wala hatujui ubora halisi wa kocha.
Tuambiane tu ukweli. Kwenda kucheza na teams ambazo tayari tumeshazinyong'onyesha kunatuondolea utimamu wa miili na akili tukija pambana na teams za ukweli.
Tumefikia hatua sisi wengine...
Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka...
Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha.
Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua duka likafail hiyo pesa hujapoteza bali ulitumia ila hali ya umaskini ndio inakufanya uhesabu...
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya.
Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.
Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
anaongeza kuwa klabu za uongozi ni msingi wakuwajenga wasichana kujiamini na kuwa viongozi wa baadaye.
Kwa Skuli ya Benmbella, Mwalimu Bakari Mohammed anaeleza kuwa uchaguzi wa serikali za wanafunzi unawahamasisha watoto kujiamini. Rais wa wanafunzi huchagua baraza lake la mawaziri na kushiriki...
Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya
Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote
Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
Sawa mnitukane sina hela.
Vibinti tu ya 20+ yrs.
Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki.
So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
Hapa nazungumzia kuimarisha mapenzi katika mahusiano ya kawaida au kwa namna nyingine mahusiano ambayo sio ya kimapenzi
Kwanza ni kuonyesha unavutiwa na mambo ya rafiki zako au watu ambao huwa mnakuwa pamoja,nikwambie kitu expert?
Hakuna watu ambao hawapendi kujua kwamba upo interested na...
Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi.
Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani.
Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela.
Niliwahi waambia mtakuja...
Habari wana Jf naomba msaada namna gani ya kupunguza email kwa goggle account nimeambiwa zimejaa nimejaribu kudelete lakinj bado naletewa meseji ya kujaa na kupewa tahadhali yabkutopokea tena email kuanzia tarehe 1 mwezi wa 2 msaada please
Habarini za wakati wakuu.
Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia.
Amani ya bwana iwe nanyi.
mshamba_hachekwi
Mshana Jr
Igweeee wananzengo,
Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao.
Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.
Taarifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.