Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

Mara nyingi ni athari moja wapo ya kua na testosterone nyingi
Utajuaje kama unazo nyingi ni kua na hairly body beards na makunyanzi muda mwingine

Kuzuia au kupunguza zipo njia moja ni matumizi ya MINOXIDIL ingawa kibongo bongo sijui kama zipo genuine ama la last summer nilikua mahala duniani zinapatikana genuine na ni proved kupunguza kasi ya alopecia

Pia unaweza fanya hair transplant kamanda
 
Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)

Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?

Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?

Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?

Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!

View attachment 3691312
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂

Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?
Piga kipara tu
 
Pambana. Na kutafuta pesa,Ukiwa na pesa kiparq utaweza kukihudumia hata kila baada ya siku mbili saloon itakuwa sio shida zako.....TAFUTA PESA
 
Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)

Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?

Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?

Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?

Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!

View attachment 3691312
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂

Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?
Wewe unadhani Rais hakuwa na pesa na hizo Dawa hakujua?
 
Hata mimi ninacho na na dalili zilianza nikiwa na umri kama huo...usiwaze utazoea na kuona kawaida.

Uwe na hela ili kiitwe kipara na sio kovu la kichwa,wanasema watoto wa mjini.😀
Aisee basi, niyasake maokoto kwa wivu mkubwa sana
 
Mara nyingi ni athari moja wapo ya kua na testosterone nyingi
Utajuaje kama unazo nyingi ni kua na hairly body beards na makunyanzi muda mwingine

Kuzuia au kupunguza zipo njia moja ni matumizi ya MINOXIDIL ingawa kibongo bongo sijui kama zipo genuine ama la last summer nilikua mahala duniani zinapatikana genuine na ni proved kupunguza kasi ya alopecia

Pia unaweza fanya hair transplant kamanda
Air transplant kwa hapa Tanzania ipo na wanauzoefu kweli..

What about side effects..

Ngoja nitafanya research nione.. Asante ila hizo monoxidil najua haiko genuine hasa kwa zinazo kuwa shiped huku africa
 
Mkuu
Wahuni Watakupiga Cash
Ukitaka Nywele Vaa Wigi
Najua michezo yao, wengi waongo waongo tu, naona itabidi nifanye transplant tu, Wigi la kiume sijawahi ona
 
🤣🤣. Kaka huwezi pambana na uumbaji. Hiki kitu kimenianza kunitokea mwaka jana, nishakubaliana nacho hivi sasa nanyoa kipara cha mbaaaaaaali.
Hatari sana mkuu, inabidi kukubali matokeo ya sir God tu.
 
Mtafute aliyekuwa mchezaji wa Manchester United aitwae Rooney atakupa mchongo wa kuondoa kipara
Sawa nitafatilia transplant yake maana jamaa alitrendi sana
 
Back
Top Bottom