Ukiwa na kipara ni aidha uwe na hela au elimu.Ishi Hayo Ndiyo Maisha Kipara Siyo Ugonjwa
Ndio, nywele zinapoteza ubora na kuanza kukatika/kunyonyoka...Duuh kwa hiyo puli inasababisha wanga?
🤔una nguvu hata za kucheka,hakika unakipendaHahahaha, kipara ngoso.
Sipendi kuwa na kipara kwakweli, ila naona kinakuja kwa kasi sana
Check na wayne rooneHakuna shida ila sipendi kipara katika maisha yangu
Wachaga wamekaa na mlima Kilimanjaro tangu wamezaliwa na hawaupandi ila kila mwaka maelfu wanasafiri miles nyingi kwenda kuupandaHuko duniani watu wenye vipara kama wote
Tumia Kirkland.Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?
Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?
Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?
Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!
View attachment 3691312
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂
Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?
Vaa mawigi kama dada yako.Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?
Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?
Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?
Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!
View attachment 3691312
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂
Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?
Yapo yakipilipili hayana shidaNilisha ona clip moja, jamaa alikuwa nalo, ila alikuwa mzungu na nywele zimekaa kizungu!! Sasa kwa sisi waafrika na nywele zetu kweli yapo??
Na yale huwa yanakuwa na gundi, likikaa mda mrefu na joto hili la bongo hayaleti shida kweli?