wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord denning

    Rais wa Burundi katoa onyo ambalo tumeshalitoa mara nyingi humu. Kazi kwenu wenye mamlaka

    Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi. Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
  2. Damaso

    Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ushauri: Jitahidi kutembelea ndugu/jamaa na marafiki wenye uwezo wa Duni na wachini kabisa(masikini)

    Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala. Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha ya kila binadamu. Na kwa sababu hatuna utu basi kuna msemo usemao ndenge wanao fanana huruka...
  4. The Burning Spear

    Makazi Mapya Kwa watu wenye vipato vya Kati Dar/Pwani

    Ndugu wanajamvi. Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu. Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  6. BabaMorgan

    Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

    Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank. Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
  7. M

    Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  8. Damaso

    Afrika: wenye akili hawana maamuzi, wenye maamuzi hawana akili

    Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika tunataka nini. Afrika ni bara ambalo limekuwa likitegemea misaada kutoka nchi za Magharibi...
  9. T

    Ziko wapi fursa za mitaji kwa vijana wenye mawazo yenye tija kwa jamii na dunia?

    Wakuu habari! Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
  10. Eli Cohen

    Sijui kwanini ila most guys wenye majina haya huwa ni watundu sana, streetsmart, vicheche na wanapenda kuendesha crown/benz sedan

    Eddy Brian Jimmy Chris Junior
  11. Bmw m5

    Wanawake wenye maumbo mazuri ni wetu.

    Ndugu zangu salaaaam.. Nimekua natamani sana kuoa mwanamke mzuri kuanzia umbo kwa maana ya muonekano wa nje. Ila mara kadhaa kumekua na baadhi ya watu wakisema kuoa pisi kali ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule tena ya msingi🤣🤔. Hivyo kupelekea watu wenye nia ama ndoto ya kumiliki...
  12. Wakusoma 12

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu, wenye mamlaka wanatukana wananchi. Case study Chalamila

    Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu? Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee...
  13. chizcom

    Hivi kwa nini, Watu wenye IQ kubwa ushindwa kueleweka kwenye kwenye jamii yenye IQ ndogo na mwisho wa siku utumika kama msaada mbeleni?

    Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa. Historia inasema kulikuwa na watu...
  14. Money Penny

    Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  15. M

    Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa

    Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa. Autism (Usonji) Visual impairment -kutokuona Hearing impairment- kutosia Ulemavu wa viongo n.k Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding hapo hapo. Kipo mikocheni A Kijana wangu yupo hapo nimeona there's some improvement kubwa .
  16. Mkalukungone mwamba

    Dkt. Biteko: Watu Wenye Ualbino ni Muhimu Kama Wengine, Tembeeni Kifua Mbele

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni muhimu kama ilivyo kwa watu wengine. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Januari 24, 2025 Jijini Dar es...
  17. K

    Mkombozi kwa wenye matatizo ya shimo la choo kuja baada ya muda mfupi.

    Mashine unayoiona hapo itakupa suluhisho lakudumu nautasahau kabisa kuhusu tatizo hilo. Kwa maelezo njoo inbox. 0743815045
  18. GENTAMYCINE

    Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

    Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
  19. Magical power

    Uzi wa kijobless na mbinu za kidigree (utatu wenye utata

    UZI WA KIJOBLESS NA MBINU ZA KIDIGREE (Utatu wenye utata) GAP YEAR......!!! Kati ya mwaka 2017_2018, inaweza kuwa mwanzoni au mwishoni mwa miaka hio kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri. Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya kusambaza vinywaji. Yaani mimi ndio nilikuwa natembea na gari...
  20. Manfried

    Tanzania kuna uhaba wa watu wenye Akili haiwezekani .

    Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Back
Top Bottom