Kwanini wakatoliki hawana kipengele cha kuombea waumini wenye shida mbalimbali kama kufungua milango ya ridhiki, magonjwa, majini, uchawi?

Kwanini wakatoliki hawana kipengele cha kuombea waumini wenye shida mbalimbali kama kufungua milango ya ridhiki, magonjwa, majini, uchawi?

Nguzo za ukatoliki ni IMANI, ELIMU NA AFYA. Vyote vinafanywa kwa kiwango kikubwa, hakuna ujinga uninga huko. And of course kuna Charismatic ukitaka maombezi nenda huko
 
Nguzo za ukatoliki ni IMANI, ELIMU NA AFYA. Vyote vinafanywa kwa kiwango kikubwa, hakuna ujinga uninga huko. And of course kuna Charismatic ukitaka maombezi nenda huko
Tukiwa Seminari, Motto wetu ulikuwa Sala, Kazi na Masomo.
Hakuna habari ya kuwa mvivu halafu ukategemea miujiza. A man must work so to enjoy his fruits of labour.
 

Attachments

  • images (43).jpg
    images (43).jpg
    42.8 KB · Views: 13
Sala (maombi+dua +kulia sana + etc) + Kazi (Ajira) + Masomo (Elimu)

Vionaombewa ila mwombaji akitambua umuhimu wa taaluma katika kutatua changamoto (magonjwa, kujituma kupata riziki etc)
 
Back
Top Bottom