Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni , kwan tuliwafunga wakolni? bs hata mauwaji yatupatie katiba alafu waeke kipengele bs cha kuwalinda 😡
Haya ni maoni nimepokea kutoka Kwa mdau,wewe je unasemaje!?
Haya ni maoni nimepokea kutoka Kwa mdau,wewe je unasemaje!?