Machawa wa CCM VS Machawa wa CDM ..Kwa nini hatuna wasomi wa siasa wenye kuja na ukweli kipindi hiki?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake.
Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi wanaojitokeza kutoa lecture muhimu kwa kizazi cha GEN Z badala yake wanaibuka malecturer machawa na walionunuliwa kutoa narration.

Kama nchi turejeshe utaratibu wa kuheshimu vyuo vyetu vya umma kuchukua best students na kuwapika katika mrengo wa SERA YA ujamaa na kujitegemea.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Chadema hakuna chawa, bali kuna nyumbus!
 
Back
Top Bottom