Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

Na wengi wao cku hzi wanavaa shanga kbs km dada zao alooo
FB_IMG_1789074054212.jpg
 
Kwa sababu ndio Sehemu pekee ambayo washamba wengi kutoka vijijini na mashambani kote Tanzania hufika na kuleta ulimbukeni wao.

Kiufupi Population ya Dar wenyeji hawafiki hata asilimia 20, the rest ndio hao wakuja wenye mambo ya kishenzi na kifedhuli.
 
Being feminine is not a problem. We all embody both feminine and masculine traits; what matters is how those traits are expressed, balanced and integrated within an individual.
Swali langu linahusu kwa nini Dar ina wanaume wengi wenye tabia za kike(feminine characters), sijazungumzia kama ni tatizo au sio tatizo.
 
Kwa sababu ndio Sehemu pekee ambayo washamba wengi kutoka vijijini na mashambani kote Tanzania hufika na kuleta ulimbukeni wao.

Kiufupi Population ya Dar wenyeji hawafiki hata asilimia 20, the rest ndio hao wakuja wenye mambo ya kishenzi na kifedhuli.
Wengi wao ni wa Pwani
 
Swali langu linahusu kwa nini Dar ina wanaume wengi wenye tabia za kike(feminine characters), sijazungumzia kama ni tatizo au sio tatizo.
Kwa mtazamo wangu, sababu kubwa ni urbanisation, exposure na social environment ya Dar. Dar ni jiji lenye mchanganyiko mkubwa wa watu, mitindo, entertainment, fashion, beauty na subcultures mbalimbali. Mtu anayekuwa na feminine expression—iwe ni kwenye dressing, grooming, makeup, mannerisms, sauti au miondoko—ana mazingira makubwa zaidi ya kujieleza na kukutana na watu wenye expression kama hiyo.

Pia social media, music, fashion na entertainment zimeongeza visibility ya styles hizi. Kwenye jamii ndogo au maeneo yenye social pressure kubwa, mtu anaweza kujizuia kuonyesha baadhi ya characteristics zake hadharani; Dar, kwa ukubwa na anonymity yake, inatoa freedom kubwa zaidi ya self-expression.

Kwa hiyo si lazima maana yake iwe kwamba wanaume wenye feminine characteristics ni wengi zaidi kwa proportion Dar. Inaweza pia kuwa ni kwamba wanaonekana zaidi, wame-concentrate zaidi kwenye certain social spaces, na expression zao zina-amplified na urban culture.

Na hapa kuna tofauti muhimu: kuwa na feminine expression hakutuelezi moja kwa moja gender identity au sexual orientation ya mtu. Tunazungumzia zaidi namna anavyojieleza outwardly.
 
Nafikiri mavazi yanachangia sana siku hizi ingawa hata sisi tulivaa pekos na bugaloo na raizoni lakini bado muonekano ulikuwa wa kiume
Siku hizi wanaume wanachangia dressing table na dada zao au wanawake zao na hilo ndio tatizo

Kuna jamaa alinichekesha alisema eti kuna mafuta alitumia akaanza kuona pua imeanza kuwa nyeupe 😂😂
 
Back
Top Bottom