The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mashoga mnajua mpaka makao makuu yenu yalipo sio?Kwa sababu iko karibu na zanzibar.zanzibar ni makao makuu ya mashoga Tanzania
Upo wapi mkuuKwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
Sauti tafadhariKwamba mwanaume anaweza kusema, "karlibu", badala ya, "karibu"?
Yoda anayo 😂Sauti tafadhari
Kujiremba sana/kutumia vipodozi vingi kama wanawake, kuvaa nguo za kubana(vinjuga), kutoboa poa, kuongea kwa kubana pua, kulambalamba lips, kurembua, miondoko na mikogo ya kike
🤣Hahahaaaa nimejaribu kuipiga dah! nimeipenda nitakuwa nakaribishia wageni na wateja!
yaelekea una muda mwingi wa kuchunguza mionekano ya watu kuliko maisha yako binafsiKujiremba sana/kutumia vipodozi vingi kama wanawake, kuvaa nguo za kubana(vinjuga), kutoboa poa, kuongea kwa kubana pua, kulambalamba lips, kurembua, miondoko na mikogo ya kike