wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mrembo asisitiza maadili kwa wadada wenye tamaa za IPHONE 18 (video)

    Mrembo toka Masaki amesisitiza wadada waache tamaa katika maisha
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

    Habari wakuu, Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa https://www.jamiiforums.com/threads/naenda-bariadi-kusomea-degree-ya-uchawi-wenye-faida-nitaleta-mrejesho-mwaka-2026-mwezi-wa-kwanza.2233791/ Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

    Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu.. ~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip) ~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip) ~ Tundu Antipas Lissu ~ Steve Kanumba.(Rip) ~ Diamond platnum
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Misemo ya Maskini Wasio na Pesa Kujifariji na Kuwasema wenye Pesa( Matajiri)

    1.Anaringa ana hela ,hela ndio zitamzika? 2.Utakufa utaziacha 3.Kama huna Yesu ni Kazi Bure My Take Tutafute pesa Ili kuondoa umaskini kwenye jamii,hiki ndio chanzo Cha mihogo zmajungu na mauaji. Ongeza mingine
  5. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka. Hivi ni kweli. Mtu mzima akiwa na vipele ambavyo haviponi au kuwa na makovu mengi ya mara kwa mara...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

    SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?! Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma. Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni wanaume wachache sana, kama wapo anyway, wenye hela ambao siyo WOMANIZER , tena notorious WOMANIZER

    This is my casual observation. Uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 50 ya kuwa duniani, umenithibitishia hivyo. Wewe unasemaje?
  8. Bikra unayo

    JamiiForums Tanzania Huenda tatizo la jamii yetu si kwamba watu wamekuwa wabaya, bali tumetengeneza mazingira yanayowazawadia watu wenye tabia mbaya.

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba watanzania ni wajanja wajanja na matapeli kwa asili. Lakini je, tumewahi kujiuliza kama mazingira...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  10. N

    JamiiForums Tanzania RAIS PAUL KAGAME, EVALIST NDAYISHIMIYE NA FELIX TSHISEKEDI NI MARAIS WENYE WELEDI SANA?

    Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu ajabu, Tofauti na wafanyabishara kama akina Dangote, Mo Mohamed akipiga picha na Rais wa nchi huwa za...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Arusha tuweke mkoa namba moja wenye matatizo ya akili na kiwango cha uhalifu wa kiuni.

    Tuachane na musoma,mara na geita tuje arusha. Kwa steji waliyofika mnaona tuwape asilimia ngapi. Ukigusa mitandao ya kijamii kila siku ni huko arusha.
  12. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wenye nongwa na mimi mnajisumbua tu

    Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:- Watu hawa wenye damu AB- ni ngumu sana kuwajua kwa kina, ni wabaridi sana, hawana ladha kabisa.

    Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile Ketsuekigata), watu hawa huchukuliwa kuwa na sifa za kipekee zaidi kutokana na nadra yao na mchanganyiko wa...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:-Tabia hizi ni za watu wenye kundi la damu AB

    Katika jamii, watu wenye aina ya damu ya AB+ mara nyingi huchukuliwa kuwa na tabia za kipekee sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kibaolojia damu ya AB ni nadra (inapatikana kwa takriban 3% hadi 5% tu ya watu duniani), na pia inachanganya sifa za kundi A na kundi B. Ingawa mambo ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Taaluma Zetu Zisitufungie Milango — Wenye Experience Tushikeni Mkono.

    Wakuu habari za muda huu 🤝 ‎ ‎Kuna namna fulani threads za hapa JF zinavyokuwa na mambo ya taasisi mbalimbali zinazolipa vizuri Tanzania, ukizisoma unajikuta unasema, “Dah, Mungu siku moja na mimi anione.” ‎ ‎Aisee kuna baadhi ya threads ukikaa ukasoma experiences za watu, career journeys zao...
  16. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake wenye akili bado wapo?

    Kuna clip moja nimeliona na umenipa matumaini kumbe kwenye taifa hili lenye wanawake walio oza kimaadili bado wapo(bado yupo, maana ni one in a thousand) Kila siku nimekuwa mstari wa Mbele katika kuwaeleza wanawake umuhimu wa kujitegemea nikiwaambia kujiuza na kubadilisha miili yenu iwe sex...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye mabasi ilazimisheni serikali iwauzie hisa kwenye vituo vikuu vya mabasi ya mikoani

    Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru. Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
  18. feyzal

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mgomo wa mabus na Malori leo ndo ingependeza wenye gari binafsi kufanya road trip kabambe

    Salaam wakuu. Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu. Nawasilisha
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Wenye Kusema vs. Wenye Kutenda

    Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha dhambi. Wenye michepuko ndio wanaogombania majukwaa kuendesha semina za uaminifu katika ndoa. Wasio na...
Back
Top Bottom