Ni wanaume wachache sana, kama wapo anyway, wenye hela ambao siyo WOMANIZER , tena notorious WOMANIZER

This is my casual observation. Uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 50 ya kuwa duniani, umenithibitishia hivyo.

Wewe unasemaje?
Mkuu,

Ukiwa na pesa hata usipokuwa womanizer wanawake wanaweza kukufuata wenyewe, kwa hiyo mara nyingine unaweza kuonekana womanizer kwa sababu tu ya vishawishi, wanawake wanakupenda wenyewe.

Wanawake wanavutiwa na wanaume wenye uwezo, kwa hiyo unavyozidi kuwa na uwezo zaidi, ndivyo unavyozidi kuhitaji nidhamu zaidi kuvishinda vishawishi.

Sasa, wanaume wanaoshindwa na vishawishi si wote ni womanizers.

Womanizer ni mwanamme anayewatafuta wanawake, anafanya jitihada kuwapata wanawake. Anatongozatongoza ovyo.

Kuna wanaume hawafanyi hivyo na wanajikuta tu wameangukia kwenye masahibu ya dunia ya wanawake.

Kwa sababu wana mvuto kama sumaku kwa wanawake.

Mwanamme anaingia sehemu ana ndinga kali, ananukia marashi ya bei mbaya, kanona anaonekana ana lishe nzuri, anaonekana ana confidence ya pesa anaweza kwenda kokote anakotaka kufanya lolote, ana options, ana choice, haiti kamati kamati kutimiza mambo yake.

Halafu ukute kajiongeza kasomasoma kidogo, katembea kidogo, si mshamba, akiongea anaonekana interesting.

Ukiongeza na swagger za kujiongeza kidogo tu.

Wanawake wenyewe wanampapatikia, kuanzia madanga mpaka wale watakaopenda swagger lake kikweli.

Sasa hapo hata kama mtu si womanizer mazingira tu yanamuweka kwenye vishawishi.

Kwa niaba ya watu wenye pesa wanaoingizwa majaribuni na pesa zao tu si kwa kutaka kuwa womanizers, naomba mtuelewe.
 
Mwanamme anaingia sehemu ana ndinga kali, ananukia marashi ya bei mbaya, kanona anaonekana ana lishe nzuri, anaonekana ana confidenve ya oesa anaweza kwenda kokote anakotaka kufanya lolote, ana options, ana choive, haiti kamati kamati kutimiza mambo yake.

Halafu ukute kajiongeza kasomasoma kidogo, katembea kidogo, si mshamba, akiongea anaonekana interesting.

Ukiongeza na swagger za kujiongeza kidogo tu.

Wanawake wenyewe wanampapatikia, kuanzia madanga mpaka wale watakaooenda swagger lake kikweli.

Sasa hapo hata kama mtu si womanizer mazingira tu yanamuweka kwenye vishawishi.

Kwa niaba ya watu wenye pesa wanaoingizwa majaribuni na oesa zao tu si kwa kutaka kuwa womanizers, naomba mtuelewe.
KAMA UMENIONGELEA MIMI VILE . MTU UKIJIPENDA TAYARI KOSA. AISEE NIMEKUJA KUGUNDUA NIDHAMU NI KITU KIZURI SANA . MATAJIRI WANA KAZI YA KULINDA UANAUME WAO NA PIA EMPIRE ZAO. AISEE MADEMU WANA MACHO YA XRAY HATA UTULIE VIPI WANAONA FURSA NA ISHU KUBWA WANATAKA YAI LAKO 🤣🤣🤣🤣
 
Hii mara nyingine ni vigumu kumuelezea mtu ambaye haijamkuta.

If you know, you know.
 
Mkuu,

Ukiwa na pesa hata usipokuwa womanizer wanawake wanaweza kukufuata wenyewe, kwa hiyo mara nyingine unaweza kuonekana womanizer kwa sababu tu ya vishawishi, wanawake wanakupenda wenyewe.

Wanawake wanavutiwa na wanaume wenye uwezo, kwa hiyo unavyozidi kuwa na uwezo zaidi, ndivyo unavyozidi kuhitaji nidhamu zaidi kuvishinda vishawishi.

Sasa, wanaume wanaoshindwa na vishawishi si wote ni womanizers.

Womanizer ni mwanamme anayewatafuta wanawake, anafanya jitihada kuwapata wanawake. Anatongozatongoza ovyo.

Kuna wanaume hawafanyi hivyo na wanajikuta tu wameangukia kwenye masahibu ya dunia ya wanawake.

Kwa sababu wana mvuto kama sumaku kwa wanawake.

Mwanamme anaingia sehemu ana ndinga kali, ananukia marashi ya bei mbaya, kanona anaonekana ana lishe nzuri, anaonekana ana confidence ya pesa anaweza kwenda kokote anakotaka kufanya lolote, ana options, ana choice, haiti kamati kamati kutimiza mambo yake.

Halafu ukute kajiongeza kasomasoma kidogo, katembea kidogo, si mshamba, akiongea anaonekana interesting.

Ukiongeza na swagger za kujiongeza kidogo tu.

Wanawake wenyewe wanampapatikia, kuanzia madanga mpaka wale watakaopenda swagger lake kikweli.

Sasa hapo hata kama mtu si womanizer mazingira tu yanamuweka kwenye vishawishi.

Kwa niaba ya watu wenye pesa wanaoingizwa majaribuni na pesa zao tu si kwa kutaka kuwa womanizers, naomba mtuelewe.
Asante sana. Nitarudi kwwko baada ya kupata tafsiri ya neno WOMANIZER
 
womanizer is a noun for a man who habitually flirts with, seduces, or pursues multiple women, typically for short-term sexual relationships or casual encounters rather than deep emotional commitment.

Key Characteristics

• Lack of commitment: Avoids long-term relationships, exclusivity, or serious emotional investment.
• Multiple partners: Frequently moves from one woman to another or maintains overlapping flings.
• Disapproving tone: The label is generally used critically to imply insincerity, manipulation, or dishonesty (such as leading people on).

Common Synonyms

• Philanderer
• Casanova / Don Juan
• Playboy
• Player (informal)
• Skirt chaser

Wakikufuata si unawakataa? Kama huna ka element ka womanization, unawàkemea kwa nguvu za Yesu. Lakini ile nguvu ya pesa inakufanya usiweze kukemea. Nguvu ya pesa
 
Back
Top Bottom