Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
"Wakikufuata si unawakataa" is easier said than done.womanizer is a noun for a man who habitually flirts with, seduces, or pursues multiple women, typically for short-term sexual relationships or casual encounters rather than deep emotional commitment.
Key Characteristics
• Lack of commitment: Avoids long-term relationships, exclusivity, or serious emotional investment.
• Multiple partners: Frequently moves from one woman to another or maintains overlapping flings.
• Disapproving tone: The label is generally used critically to imply insincerity, manipulation, or dishonesty (such as leading people on).
Common Synonyms
• Philanderer
• Casanova / Don Juan
• Playboy
• Player (informal)
• Skirt chaser
Wakikufuata si unawakataa? Kama huna ka element ka womanization, unawàkemea kwa nguvu za Yesu. Lakini ile nguvu ya pesa inakufanya usiweze kukemea. Nguvu ya pesa
Pia, si lazima kila mtu aishi kwa moral code moja.
Key point ni kwamba mtu anayefuatwa na wanawake si womanizer.
Anaweza kuwa na tatizo la nidhamu ya kukataa wanawake, lakini hiyo si kuwa womanizer ni kitu kingine.