Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

You would classify them by groups and institutions they are involved with,

Mfano kwenye biashara wangekuwepo hapo Mo Dewji,Bakhresa,
Ukienda kwenye habari unamkuta Millard Ayo,ukienda kwa gender huwezi kumkosa Bibi Titi Mohammed.
 
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..

~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)

~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)

~ Tundu Antipas Lissu

~ Steve Kanumba.(Rip)

~ Diamond platnum
Sokoine je
 
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..

~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)

~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)

~ Tundu Antipas Lissu

~ Steve Kanumba.(Rip)

~ Diamond platnum
Naungana na wewe kwa diamonds hapa cjui ana ushawishi kwa nani labda kigoma alikotoka lkn kwa jamii hana mchango wowote.
 
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..

~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)

~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)

~ Tundu Antipas Lissu

~ Steve Kanumba.(Rip)

~ Diamond platnum
Kuna watu umewataja kwa umaarufu hapo sio ushawishi,Hao wawili wa mwisho
 
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..

~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)

~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)

~ Tundu Antipas Lissu

~ Steve Kanumba.(Rip)

~ Diamond platnum
Kanumba alikuwa ana ushawishi gani?
 
Umaarufu na ushawishi wa Lissu haujamfikia hata Dr Slaa kipindi chake akiwa kwenye pic, hao wawili wa chini sijui hata umetumia vigezo gani au wewe ni Gen Z
 
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..

~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)

~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)

~ Tundu Antipas Lissu

~ Steve Kanumba.(Rip)

~ Diamond platnum
Huyo Diamond platnum, ana mchango gani katika wa ustawi wa kijamii?
 
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..

~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)

~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)

~ Tundu Antipas Lissu

~ Steve Kanumba.(Rip)

~ Diamond platnum

Huyo Steve kadumba ni mumeo anashawishi familia yenu?

1. Nyerere sawa
2. Magufuli sawa
3. Tundu Lissu sawa
4. Ali Hassan Mwinyi sawa
 
Back
Top Bottom