RAIS PAUL KAGAME, EVALIST NDAYISHIMIYE NA FELIX TSHISEKEDI NI MARAIS WENYE WELEDI SANA?

RAIS PAUL KAGAME, EVALIST NDAYISHIMIYE NA FELIX TSHISEKEDI NI MARAIS WENYE WELEDI SANA?

Neutral Man ZT

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2025
Posts
501
Reaction score
990
Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu ajabu,
Tofauti na wafanyabishara kama akina Dangote, Mo Mohamed akipiga picha na Rais wa nchi huwa za heshima,
Huyu Chivayo kaonenaka akiwa na
1. Rais Yowel Mseveni.
2. Rais William Rutto.
3. Rais Samia Suluhu.
4. Rais Emerson Mnangagwa.
5. Rais Hechilema.
6. Rais Ramaphosa..
7. Rais Tinubu
8.
Lakini katika hiyo list Rais Paul Kagame, Evalist Ndayishimiye na Felix Tshisekedi hawajaonekana wala kutuhumiwa, je hawa marais ni Wazalendo sana kwa mataifa yao pia ni wenye akili kiasi kwamba waliona hatari ya kuwa karibu na Wicknell Chivayo?
 

Attachments

  • 85cd8b1845f7376a2fd92ecc14fe4274.webp
    85cd8b1845f7376a2fd92ecc14fe4274.webp
    56.6 KB · Views: 11
Back
Top Bottom