Nyie watu wenye nongwa na mimi mnajisumbua tu

Nyie watu wenye nongwa na mimi mnajisumbua tu

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana

Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio vinakuwa vingi sana.

Once a fool will always be a fool
 
Eeeeh kwani imekuaje tena?.
1000130195.jpg
 
Back
Top Bottom