BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Aleikhum sheikh!Salam alaikum mkuu bichwa??.nakusalimu
mdogo mdogo naona akijaa kwenye mifumo ya mapaka shume ya JFKuna watu wana mioyo laini laini , kulia lia ni kama amesha jaa kwenye mifumo yao
Sisi majimama wenye sura mbaya huwa tunazaa mabinti wazuri sana😹😹😹😹duh


Hahaha madhara ya kushinda sana jf 😆 angekaangwa huko twitter ndio angejinyonga kabisamdogo mdogo naona akijaa kwenye mifumo ya mapaka shume ya JF
Dogo anadeka 😂Nani kamchokoza tena huyu dogo wa efu ishilini
Emoji zishakuchanganya 😹
Huyu dogo anajisahau sahau sana, ile akaunt ya elfu 20 ishapunzika. Now kafungulia turbo mpyaaa. Yani mpaka kuchele 😂Nani kamchokoza tena huyu dogo wa efu ishilini
Mpuuzeni tu huyu dogo, ujana unamsumbua badoHuyu dogo anajisahau sahau sana, ile akaunt ya elfu 20 ishapunzika. Now kafungulia turbo mpyaaa. Yani mpaka kuchele 😂
Inasikitisha sana.Sisi majimama wenye sura mbaya huwa tunazaa mabinti wazuri sana
Mungu katubariki kufyatua![]()