Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Sijui wivu au uchawi.
Ila Kuna video nimeona amepost, anajisifu analeta Aston Martin DB7 V12, chuma ya James Bond, anaitest anaikanyaga mafuta mlio ukiusikia tu unajua hii V8. Pia milango inqonesha kabisa ni gari ya siku hizi, wakati DB7 iliishia 2004.
Sijui, atawauzia Bei gani, ila Japan cheapest bila Mil 170 hupati, pasi na ushuru.