Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani.
Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata...
Hawa ndo wenyeji wa jiji la Dar. Wamefukuzwa wamekufukuziwa huko pembezoni mwa Mji na bado wanafuatwa kama vile haitoshi.
Nashauri ni wakati wa sasa nao kudai jiji lao maana wamekuwa watumwa na watu wa daraja la chini. Mi naumia sana. Sisi tuna nyumba mitaa flani ndo tumebaki sisi tu baada ya...
Tuweke Ushabiki kando.
Hii ligi yetu inaelekea wapi.
Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza.
Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi.
Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote.
Wengine wanaenda kwa waganga.
Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu.
Hii itakuwa nini?
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu.
Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama.
Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia.
Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi
Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake
Trump ameshawahi kuwa raisi na mkaona impacts zake kama hakustahili kuwa raisi mlimpaje tena kura
Trump amekuwa...
Hakika jeshi limekuja kivingine, ukiweka ugoko wanaweka jiwe.
Hii ni moja ya zana ya kisasa ya kudhibiti wahuni kipindi cha uchaguzi, nyingine bado hazijaonyeshwa. Nasubiri nione dizaini ya rungu, nashauri kule Mbele ziwekewe kama miba miba hivi, ili zikigonga ugoko mtu asikilizie mpaka kwenye...
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq
Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.
Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale.
Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow!
Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi.
Kama...
Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!!
Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe.
____
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.
2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia...
Naam naam naam nimerydi tena wadau
Majuzi hapa mwana jf mwenzetu Jordy05 alileta kisa chake cha jinsi iula tunda kimasihara kulivyobadili mustakabali wa maisha yake mazima / forever of course kaongelea mengi sana mule ndani ila point kubwa niliyo note ni kwamba huyu jamaa nguvu zake za kiume ndo...
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.