wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Idadi ya safari wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaashiria uhai na ufunguaji mlango

    Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii, kupanuliwa kwa sera za kutohitaji visa, na kuongezwa rasmi kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China...
  2. U

    Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  3. GENTAMYCINE

    Chukueni hii moto moto: Pacome alikuwa haumwi bali alichukia kuona Kocha anamuanzisha Benchi wakati Yeye si Mtu wa Benchi

    Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.
  4. W

    Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  5. Ritz

    Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kuibana Serikali ya Israel kutuambia miili ya Watanzania ipo wapi?

    Wanaukumbi. Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas. Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
  6. Father of All

    Je kuna haja ya kuamini ukristo na uislam wakati vimejengwa kwenye uongo?

    Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha. Hakuna ubishi. Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad. Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa. Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu. Hakuna ubishi, waislam hata...
  7. W

    Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  8. D

    Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  9. zoyler22

    Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  10. Logikos

    Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  11. Tlaatlaah

    Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  12. J

    Ifike wakati adhabu ya viboko ifutwe mashuleni

    Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa, Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa vikiaminiwa kuwa ni adhabu kwa wanafunzi. ifiike wakati sasa viboko vifutwe kwa kuwa jamii imebadilika...
  13. Strong and Fearless

    Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

    Maisha yanakufundisha nini wakati huu?
  14. Tlaatlaah

    Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
  15. B

    Napitia wakati mgumu

    Wakuu habari zenu wakuu naomba ni share hali yangu japo nipate hata faraja maana naona naweza kupata ugonjwa wa moyo siku siyo nyingi mimi ni binti wa miaka 25 Mwaka 2017 nikiwa kidato cha nne niliugua ugonjwa wa ajabu sana miguu ilikuwa inawaka moto na kuhisi baridi sana muda wote pamoja na...
  16. M

    Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya, " Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo...
  17. U

    "Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka Mwanawe, wakati wa uhai wake"

    Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
  18. Juice world

    Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  19. Logikos

    Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  20. F

    Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Back
Top Bottom