wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Pre GE2025 Urathi wa siasa za 2024: Lissu ameukata mti (CHADEMA) halafu anataka aukwee wakati tayari umedondoka chini

    Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu. Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo amelibomoa. Lissu amekata mti, baada ya kuukata, sasa anasema anataka aukwee mti huo. Hii ni moja kati ya...
  2. Maleven

    Inafika wakati unawaza, huenda ndio maana Mungu alimnyima kitu fulani au alimpa mtihani fulani kutokana na tabia zake

    Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu. Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu. Unaweza muona mtu anaumwa sana, let's say mguu au kitu chochote, ila ukija kusikia chanzo au historia yake unaina kumbe ni...
  3. Logikos

    Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  4. A

    Je kunawezekana kuwepo wakati ujao kwenye internet?

    Je kunawezekana kuwepo kwa tomorrow kwenye kitu kinaitwa habari au later today? ? Wajuvi wa mambo mniambie
  5. G

    Njia rahisi ya kumtambua mwanamke mwenye UTI wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Wakuu habari. Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA. Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse. Ukikuta kinatoa harufu kali hio manzi usipige au tumia kondom. Binafsi natumia hii njia Sasa hivi nimesahau habari za UTI...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maelekezo Ujenzi wa Barabara ya Mbande - Msongola (3.8 KM) Ukamilike kwa Wakati na Ubora

    WAZIRI ULEGA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA BARABARA YA MBANDE -MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi tarehe 28 Desemba 2024, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa...
  7. Manfried

    Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  8. M

    Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati kuna bahari

    Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo. Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
  9. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  10. Father of All

    Makosa ya Mbowe wala Lissu ni yapi wakati hiyo ndiyo siasa aka mchezo mchafu ambao machawa wanataka kuutimia kuumiza wapinzani wao wakubwa na tishio?

    Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
  11. Carlos The Jackal

    Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

    Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya majarabio ya Kizazi hiki Cha ndege vita.
  12. chiembe

    Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

    Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee. Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
  13. Magical power

    Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote

    🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbuka❤️❤️❤️. Kwa mfano, uko kazini...
  14. Mohamed Said

    Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  15. Kyambamasimbi

    Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  16. Q

    Nadhani wakati wa mpito huu ni mbaya sana kwangu kiakili

    Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu. Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu. Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana. Naona Sina marafiki...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  18. Pascal Mayalla

    Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment?. Kati FAM na TAL, JF Tumuendorse Nani?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  19. chiembe

    Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

    Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani. Hawa ndio tukabidhi chama?
  20. Mr Why

    IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

    IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank...
Back
Top Bottom