Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote.

Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa namba hii voda wananidai. Ngoja nikupe namba nyingine. Unashtuka kidogo.

Anakupa unatuma tsh 5000. Anakuambia mwelekeze mtakapo onana. Kama ni gheto kwako au guest house. Unashtuka kidogo

Unamwelekeza ghetto anakuuliza unazo condom au mtapiga kavu kavu? Unashtuka kidogo

Hamu inakata. Why? Why? Kwanini? Mtu amekurahisishia unaanza mwona hafai unakatwa stim? Sisi wanaume hatujui tutakalo.
 
When it is too good to be true it's not true
 
Kuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.

Mwanaume anaweza kumtamani mwanamke kingono, lakini akigundua kwamba mwanamke huyo pia yuko tayari kufanya ngono kwa urahisi mno, anaanza kumpunguzia heshima na thamani.

Mwanaume anafurahia zaidi kuwinda kuliko kuzoa.
 
Nzuri kumeza
 
wape maelekezo Dr Restart
 
Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote.

Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa namba hii voda wananidai. Ngoja nikupe namba nyingine. Unashtuka kidogo.

Anakupa unatuma tsh 5000. Anakuambia mwelekeze mtakapo onana. Kama ni gheto kwako au guest house. Unashtuka kidogo

Unamwelekeza ghetto anakuuliza unazo condom au mtapiga kavu kavu? Unashtuka kidogo

Hamu inakata. Why? Why? Kwanini? Mtu amekurahisishia unaanza mwona hafai unakatwa stim? Sisi wanaume hatujui tutakalo.
Tulivyo wa ajabu ukipata wa hivyo unamshusha heshima na hamu ya tendo inaisha wanaume tunapenda misukosuko
 
Unamtongoza mwanamke halafu anakuuliza una shilingi ngapi??.....aaaarrrrrggggghhhhhhh!!

Najua siwezi kukutomba pasipo kukupa pesa, lakini kitendo cha kuniuliza Niko na pesa ngapi....inakata sana mzuka
 
Kuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.

Mwanaume anaweza kumtamani mwanamke kingono, lakini akigundua kwamba mwanamke huyo pia yuko tayari kufanya ngono kwa urahisi mno, anaanza kumpunguzia heshima na thamani.

Mwanaume anafurahia zaidi kuwinda kuliko kuzoa.
Hii ni sawa na labubu... Scarcity inakipa kitu thamani ukianza kipata kirahisi aaah kwisha
 
Kuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.

Mwanaume anaweza kumtamani mwanamke kingono, lakini akigundua kwamba mwanamke huyo pia yuko tayari kufanya ngono kwa urahisi mno, anaanza kumpunguzia heshima na thamani.

Mwanaume anafurahia zaidi kuwinda kuliko kuzoa.
hakika nimejifunza kitu
A man may desire a woman because of her sexuality, yet devalue her for expressing that same sexuality
 
Back
Top Bottom