BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Wakati mwingine ni Busara kunyamaza kuliko kuongea Upuuzi!
Nimemsikia akisema ameenda kwa balozi za donars community kuomba waache kufadhaisha nchi yetu na Vikwazo!
Anaacha kuwaendea walio chanzo cha hali tuliyomo,walio sababisha tufike hapa,unahangaika na Watu wanaotimiza majukumu yao kwa weledi ili kurudisha utu! Mr Lema you are not Smart,rather wicked!
Real culprits are your so called friends! CDM ina Viongozi wengi Wafanyabiashara! Kiongozi wa chama unafanyeje kazi ambazo hujatumwa na watu wako!