funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Kupitia press conference yake nimejifunza kitu adhimu.
Godbless Lema aliupambania ubunge akitumia Min van aina ya Noa ambayo ilikuwa inamzimikia mara kwa mara.
Alijijenga kwa hoja na mara nyingine maneno ya kihuni lakini kadri siku zinavyoenda ameendelea kujipambanua katika siasa za haki.
Option ya kuwapa uraia wa canada watoto wake haikuwa busara japo sitaki kumlaumu kwani zipo nyakati za kuchagua the so called devil's alternative.
Bottom line ...nimependa Alivyojieleza juu ya kutaka kukiondoa chama chake chini ya mikono dhalimu ya wanaolipwa kuharibu amani ya nchi na huo ndio uzalendo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!