BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 706
- 1,716
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Kleruu, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 54 amefariki Dunia baada ya kuangukiwa na mti.
Tukio hilo limetokea katika Kijiji Cha Mulama katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, ambapo mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa marehemu aliitwa kwenda kuvuta mti Kwa kamba kwa malipo ya sh. elfu moja, huku wengine wakiukata.
Lakini katika hali ya kushangaza mti huo wakati unadondoka ulidondokea tawi la mti mwingine na hivo kumwangukia Kleruu na kufariki Dunia papo hapo. Marehemu ameacha mke na watoto watano.