Sisi na South Africa Tunatofautiana wapi kwenye mpira

Sisi na South Africa Tunatofautiana wapi kwenye mpira

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,069
Reaction score
25,172
1784261924246.png


South Africa, timu zinazokwenda kwenye CAF confederation ni timu ya tatu na timu ya nane. Kwa Tanzania, tunawakilishwa na timu ya tatu na ya nne. Kuna nnini?

1784262285266.png
 
Modereta nibadilishie taito isomeke hivi
"

Sisi na South Africa tunatofautiana wapi kwenye kuchagua wawakilishi wa mpira kwenya CAF Confederation​

 
Soka la SA linaendeshwa zaidi na commercial value na broadcast revenue kuliko passion.

Wao wanajali zaidi timu inayoweza kuleta TV audience na sponsorships, tofauti na huku kwetu , sisi tunajali timu yenye mashabiki wengi hata kama haina financial stability.
 
Ili tujue kama tuko sahihi au tumepotea tuletee nchi za Morocco, Egypt na Algeria wanavyochagua wawakilishi wao.
 
Back
Top Bottom